vipi mkuu bado unaikubali vodaa ?[emoji851]voda ndo hapo huwa naikubali 3gb siku 5 na kwa speed nzuri ajabu.
au ni kwa sababu hii wiki tumekuwa tukipingwa kuitwa wanyonge ?Acha tuisome namb mkuu afu kuna watu watakuja hawana aibu mbele za tv zetu kuwa wanajali wanyonge
aah hii ndo imetoka mkuu mwisho wa siku watanzania ni watu wastaarabu sana watazoea tu na maisha yataendelea kama kawaidaNi mungu asikie kilio mkuu na hivi iko kisiasa hili jambo sitashangaa wametengeneza wahe baadae watatue waonekane wamefanya kazi na wanatujali
We jamaa kafute uzi wako ule bana! Unazingua sana, au edit utoe ile kitu nafikiri unajua ulichokifanya....aah hii ndo imetoka mkuu mwisho wa siku watanzania ni watu wastaarabu sana watazoea tu na maisha yataendelea kama kawaida
[emoji1787]au ni kwa sababu hii wiki tumekuwa tukipingwa kuitwa wanyonge ?
Lazima maisha yaendeleeaah hii ndo imetoka mkuu mwisho wa siku watanzania ni watu wastaarabu sana watazoea tu na maisha yataendelea kama kawaida
imenifikirishaa walahii .... zile mbwembwe za waziri zote zimeishiaa hapo ?[emoji1787]
kitu gani hicho? kama unaona shida kusema hapa njoo pmWe jamaa kafute uzi wako ule bana! Unazingua sana, au edit utoe ile kitu nafikiri unajua ulichokifanya....
Hata line yao nilishaipoteza siku nyingi.vipi mkuu bado unaikubali vodaa ?[emoji851]
Voda ya chuo vipi ofa imefutwa mkuuHalotel line ya chuo kuna unafuu.
Sh 1500 unapata GB 1 na MB 500 za youtube kwa wiki.
View attachment 1740932
Kama una line hiyo piga *148*55#
Voda ya chuo hamn kitu wamebadil had kwenye chuoVoda ya chuo vipi ofa imefutwa mkuu
Menu ya kujiunga ukiwa na line ya chuo ni ipi?Voda ya chuo hamn kitu wamebadil had kwenye chuo
Chief tunaomba mrejesho wako wa vifurushi, kama ni too private basi nijibu hata PMHuu ndo wakati wa kurudia opera mini, uc mini, YouTube go, insta lite etc.
*149*42# yani vifurushi ni utopolo hamna kitu halotel ndo hawajabadil vifurush vya chuo peke yaoMenu ya kujiunga ukiwa na line ya chuo ni ipi?
Wanazungua hawa jamaa. Menu ya halotel si ndio *148*55#?*149*42# yani vifurushi ni utopolo hamna kitu halotel ndo hawajabadil vifurush vya chuo peke yao
Yah ndo hiy ukipiga itakubali ila kam sio yenyewe itagoma ila ikikubali buku jero na buku mbili bado zina thaman sawa na bandoWanazungua hawa jamaa. Menu ya halotel si ndio *148*55#?