Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Yeah! Na mm nilidhania hivyo hivyo japo kwa spidi ninayoipata napoteza imani nao.
Na mbaya zaidi imefeli ktk modem mbili na simu zote zinasapoti 4G.
Kama kifaa kinashika 4g Voda automatic kinatakiwa kishike TTCL, band ni mojA
 
Okay, ngoja nifanye kujaribu kucheki na Zantel maana halotel ni line yangu ya matumizi ya kawaida kwa hiyo nashindwa kuitumia kwenge modem sana.
Wacha niweke uzalendo kando nitafute kilicho bora
 
Nawashukuru sana voda kurudisha hiki kifurushi cha 35k kwa mwezi chenye 30GB japo mwanzo kilikuwa ma 38GB.
 
Kama kifaa kinashika 4g Voda automatic kinatakiwa kishike TTCL, band ni mojA
Voda, Halotel, Tigo zote zinashika 4G vizuri ktk device zangu zote ila TTCL ndio naona ni 300kbps na the same device nikiweka halotel napata 4-11+Mbps kutegemeana na siku
 
Line zao zote wanazotoa ni 4g kuhusu speed huwa inategemea na eneo,kipindi cha nyuma niliwahi nunua night bundlle yao ilikuwa slow sikuweza download kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah! Kuna uwezekano mkubwa, japo nahisi ni mitambo kuelemewa maana sina uhakika kama ni eneo maana mitandao yote kasoro Airtel na TTCL ninapata kasi ya juu kabisa. Hii miamba miwili tuu ndio sijaielewa ina matatizo gani hasa kimiundombinu eneo nililopo
 
Nawashukuru sana voda kurudisha hiki kifurushi cha 35k kwa mwezi chenye 30GB japo mwanzo kilikuwa ma 38GB.
View attachment 1749020
Voda sio mtandao rafiki kwa uzoefu niliopitia.
1: Bando zao zinakata ghafla na kabla ya kutimia eg. niliwahi kununua kifurushi cha 1GB ila sikumaliza kushusha movie ya 700MB.
2: Gharama juu sana za vifurushi
3: ...
 
Unavipata ndani ya kifurushi kipi hivi? Kwangu ni tofauti kwenye Intaneti Supa

View attachment 1749028
Voda kila mteja ana menu yake na offer zake.
Wala hata usijichoshe kuchunguza sana.
Mm nina laini yao miaka 19 sasa na vifurushi ninavyoviona ni vichekesho.
Na hata ukijaribu kuongea na wahudumu wao watakuambia once mtu umekuwa assigned vifurushi ndio over. Hawabadili
 
Hii ni kweli ila ni kwa upande wa ofa ya yakwako tuu, vingine inapaswa vifanane kwa wateja wote unless ni zile offer maalumu za ukanda
 
Voda sio mtandao rafiki kwa uzoefu niliopitia.
1: Bando zao zinakata ghafla na kabla ya kutimia eg. niliwahi kununua kifurushi cha 1GB ila sikumaliza kushusha movie ya 700MB.
2: Gharama juu sana za vifurushi
3: ...
Ni kwel kwa sisi walalahoi mkuu voda sio mtandao kabisa
 
Voda sio mtandao rafiki kwa uzoefu niliopitia.
1: Bando zao zinakata ghafla na kabla ya kutimia eg. niliwahi kununua kifurushi cha 1GB ila sikumaliza kushusha movie ya 700MB.
2: Gharama juu sana za vifurushi
3: ...

Mkweli huwa ni data usage, waweza kuwa unashusha movie lakini kuna programs zingine pia zinafanya yake background. Au movie hiyo hiyo una download at the same time una seed kwa wenzako
 
Mkweli huwa ni data usage, waweza kuwa unashusha movie lakini kuna programs zingine pia zinafanya yake background. Au movie hiyo hiyo una download at the same time una seed kwa wenzako
Aisee, amini ninachokuambia.
Nimedhibiti kila background process ktk PC yangu na kuondoa all apps, nimezuia 20% reserve bandwidth inayokuwa default ktk PC.
In short natumia custom windows kwa ajili ya perfomance utilization. Most default programs ambazo hazina umuhimu nimezitoa ktk hii PC moja special kwa issue hz za torrents na games. Na hata nikisoma download na upload jumla yake haifiki 1GB
Ni Voda pekee ndio wamenikuta na haya mabalaa, line nyingine zote hazina haya mambo
 
Hii ni kweli ila ni kwa upande wa ofa ya yakwako tuu, vingine inapaswa vifanane kwa wateja wote unless ni zile offer maalumu za ukanda
Kwa menu mpya ya juzi labda.
Ila kabla ya hapo karibu kila mtu alikuwa anaona kile anaona.
Kuna watu hapa walikuwa wanakuja na menu zinasoma 1500Tsh karibu 2GB kwa wiki, hiki kitu sijawahi kukiona.
Mm nimezoea kuona 2GB kwa 5000Tsh
 
Hahaaa eti wanyonge na halotel je ni mtandao wa kina nani acha utani bhan voda is expensive na bando zao zinakimbia
Wanyonge kwa sababu hata wakiambiwa 1GB ni 10000 watanunua.
Wabishi tunahama
 
Naomba kupata taarifa kuhusiana na wale watoa huduma za Proxy internet... unakutaka unalipa elf 8 unapewa GB 30. Baada ya kubadilika vifurushi sijui walipotelea wapi. Kama kuna mtu ana koneksheni msaada tafadhali.
 
Wale watu bhana bado wapo ila nadhani vifurush saiv vimepungua japo still ni nafuu ila wakat unatak kuunganishwa na hiyo huduma be aware matapeli wako humu jamvini usije sema atukukuambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…