Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #3,121
Kama kifaa kinashika 4g Voda automatic kinatakiwa kishike TTCL, band ni mojAYeah! Na mm nilidhania hivyo hivyo japo kwa spidi ninayoipata napoteza imani nao.
Na mbaya zaidi imefeli ktk modem mbili na simu zote zinasapoti 4G.