Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hicho ninkifurushi cha jimwage data kila mtu anacho mkuu
 
Naona halotel nao wamejaribu kubadilisha vifurushi lakiini naona bado wamebugi
 
TTCL mizinguo upande was T-pesa lakini Mambo mengi wapo vizuri
 
Vip Zantel haisumbui..maana Airtel sima hamu nao
 
Nimejaribu kusajili laini karibia zote yaani

Zantel, Halotel, Ttcl, Tigo, Airtel.


ZANTEL: wana bando nzuri ila speed ya internet maeneo yangu ni Empty kuanzia kazini hadi nyumbani ni Empty.

HALOTEL: wana bando nzuri ila Speed ya Internet eneo langu ni empty kazini hadi nyumbani ni empty

TTCL: Wana bando nzuri ila speed ya internet eneo langu ni empty

TIGO: Huu mtandao hamna kitu kabsa yaani bora hata Zantel.

AIRTEL: Nao ni empty eneo langu kuanzia kazini hadi nyumbani.

VODACOM: Internet yao iko Very fast na Speed ya hali ya juu kuanzia kazini hadi nyumbani kwangu, shida yao iko kwenye bando zimepanda kias kwangu nashindwa kumudu gharama za bando.


Mwisho: Nimeamua kubaki tu na Vodacom japo wananinyonya sana, sina jinsi 1Gb kwa elfu 3000/= kwa wiki. [emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…