Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu kuna harufu ya utapeli hapa
1. Hakuna bundle zinazofanana mitandao yote
2. GB 700 hio mitandao ya simu ikupende kiasi hicho?
Mkuu nakutoa nje ya mada kidogo.

Naomba unielekeze jinsi ya kudownload amazon prime kwenye pc.

Ikiwezekana naomba link au app kabisa.
 
Mkuu nakutoa nje ya mada kidogo.

Naomba unielekeze jinsi ya kudownload amazon prime kwenye pc.

Ikiwezekana naomba link au app kabisa.
PC huhitaji app tumia browser ingia
www.primevideo.com

Alternative pakua app ya win 10 hapa

Sema kwa browser ni nzuri zaidi.
 
Naomba kupata taarifa kuhusiana na wale watoa huduma za Proxy internet... unakutaka unalipa elf 8 unapewa GB 30. Baada ya kubadilika vifurushi sijui walipotelea wapi. Kama kuna mtu ana koneksheni msaada tafadhali.
2017 mpaka leo bado Upo premature (Member) kutokana na michango yako mchache!!
Wadhani hata kama ipo watakumegea pande?
 
2017 mpaka leo bado Upo premature (Member) kutokana na michango yako mchache!!
Wadhani hata kama ipo watakumegea pande?

Hehehehhe sema unataka nikupe mchongo pia. Nishamaliza hiyo nipo nadondosha mizigo ya maana na uprimature wangu.

A quick note: JF is not the only platform ya kupata taarifa its just a matter of priority. Toka 2017 nipo hapa na upremature wangu nimepata taarifa za kutosha kutokana na mahitaji yangu.

You are such a pathetic poorly thinking adult unashindwa kuwaza kwa kushauri we unawaza kuwaza kuchambua mambo ambayo hauna uwakika nayo by bringing bully statements.

Just to bold it up again: unataka wewe mchongo nikupatie sema tuu.
 
Kama kifaa kinashika 4g Voda automatic kinatakiwa kishike TTCL, band ni mojA
Na router nilikua naitumia kwa simcard ya voda na muda mwingine ttcl na nilikua napata 4G,ajabu siku za karibuni aisomi voda wala ttcl,kuna uwezekano wamebadili band zao ambazo now ziko tofauti na ile router?
 
Mkuu hata mimi simu yangu nime badili nimeweka line ya voda siku nzima haijashika 4g, then kesho yake ikashika yenyewe, jaribu kuiacha line kwa muda?
 
IMG_6831.png

Nayeye kaona poa wacha nipost ila ame lock comments [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1430][emoji1430][emoji1430]
 
Naomba kupata taarifa kuhusiana na wale watoa huduma za Proxy internet... unakutaka unalipa elf 8 unapewa GB 30. Baada ya kubadilika vifurushi sijui walipotelea wapi. Kama kuna mtu ana koneksheni msaada tafadhali.
Ukimpata mwaminifu nichek Pm juz nimepigwa 27k
 
Back
Top Bottom