Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Habarini wadau kwa anayehitaji kuunganishwa na Internet bure anicheki Whatsapp namba 0762827579 nikuunganishe.
Mtandao gani mdau , Tuanzie hapo [emoji23][emoji23][emoji23]

Free in 2021 daaah ! [emoji28][emoji23]
 
Bro hii line mimi ninayo, majuzi walipofanya mabadiliko ya vifurushi hii offer ilikata. Hata menu ilibadilika , ile option ya jiunge tena haipo, na hata ukiweka salio stahiki hawakati.
Ila u never know labda umebahatika bro ? , hili bando lilikuwa the best so far.
Mimi kwa 5000 kwa week nilikuwa napata 15 Gbs, unlimited calls mitandao yote na sms 1000.

Nami pia ni mhanga wa hii. Line imerudi kuwa ya kawaida haina mbwembwe tena. Kama kutakuwa na namna ya ku reactivate ukifanikiwa tushtuane

IMG_0065.PNG
 
Back
Top Bottom