donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Naomba menu ya hii Mkuu, Shukran.View attachment 1846126
nilienda office za tigo nikapewa izo bei
Mpaka ujaze fomu uungwe kwenye hio plan ofisi za Tigo, then automatic kinajiunga kila mwezi.Naomba menu ya hii Mkuu, Shukran.
Mkuu naruhusiwa kujiunga na vifurushi zaidi ya kimojaaaaLEO OFA KUBWA BAADA YA MNYAMA KUWA BINGWA MARA 4 MFULULIZO
SOMA POST INAYOFATA
[emoji28][emoji28]
[emoji117][emoji117]
Mkuu nmekucheki pm naona kimya nmeweka na namba kwa akili ya mawasiloano zaidi hii huduma ya call ni kwa kupiga mitandao yote?? Kila mwezi kuna limit ya dakika au ni bila kokomo hata kwa siku ukipiga dakika 100??[emoji881][emoji881]OFAA BAABU KUBWA[emoji881][emoji881]
FREE CALL [emoji117]25000 TU
GB72 MWAKA 1 [emoji117] 16000 TU
BEI HII ITADUMU KWA MASAA 24. BAADA YA HAPO TUNARUDI KWENYE BEI ZA KILA SIKU
Hili swali lijibiwe hapa ili tujue tunakuja pm au tunabaki hapa hapaMkuu nmekucheki pm naona kimya nmeweka na namba kwa akili ya mawasiloano zaidi hii huduma ya call ni kwa kupiga mitandao yote?? Kila mwezi kuna limit ya dakika au ni bila kokomo hata kwa siku ukipiga dakika 100??
Unaunga kwa laini gani ,
kuhusu gb za internet vifurushi vyako hivi vina malilza mwaka kweli naje kila mwezi unapewa gb ngap na ni kwa laini gani.
Kabisaa mkuu naona jamaa kala winga kali pia kama kuna mtu alisha pata hii huduma na inapiga kazi fresh basi tunaomba atusanue na sie maana hapa mtandaoni mambo mengi mda ni mchache, makanjanja ni wengi japo sio kila mtu ni kanjanjaHili swali lijibiwe hapa ili tujue tunakuja pm au tunabaki hapa hapa
Mkuu labda KWA line tofauti maana kile cha mwanzo bado unachoMkuu naruhusiwa kujiunga na vifurushi zaidi ya kimojaaaa
Ngoja nikuchek mkuuMkuu nmekucheki pm naona kimya nmeweka na namba kwa akili ya mawasiloano zaidi hii huduma ya call ni kwa kupiga mitandao yote?? Kila mwezi kuna limit ya dakika au ni bila kokomo hata kwa siku ukipiga dakika 100??
Unaunga kwa laini gani ,
kuhusu gb za internet vifurushi vyako hivi vina malilza mwaka kweli naje kila mwezi unapewa gb ngap na ni kwa laini gani.
Muulize mkuu safuher hapo ila kama unahisi mi ni kanjanja you can just go on and find other offers mkuu sio lazimaKabisaa mkuu naona jamaa kala winga kali pia kama kuna mtu alisha pata hii huduma na inapiga kazi fresh basi tunaomba atusanue na sie maana hapa mtandaoni mambo mengi mda ni mchache, makanjanja ni wengi japo sio kila mtu ni kanjanja
malipo ni baada ya huduma au inakuaje!??[emoji881][emoji881]OFAA BAABU KUBWA[emoji881][emoji881]
FREE CALL [emoji117]25000 TU
GB72 MWAKA 1 [emoji117] 16000 TU
BEI HII ITADUMU KWA MASAA 24. BAADA YA HAPO TUNARUDI KWENYE BEI ZA KILA SIKU
Mkuu mimi ni mmoja wapo wa wanufaika wa hii offa na huyu huyu donlucchese ndo kaniunganisha.Kabisaa mkuu naona jamaa kala winga kali pia kama kuna mtu alisha pata hii huduma na inapiga kazi fresh basi tunaomba atusanue na sie maana hapa mtandaoni mambo mengi mda ni mchache, makanjanja ni wengi japo sio kila mtu ni kanjanja
Line ya haloteli mnatoa ofa hiyo ?Mkuu labda KWA line tofauti maana kile cha mwanzo bado unacho
[emoji881][emoji881]OFAA BAABU KUBWA[emoji881][emoji881]
FREE CALL [emoji117]25000 TU
GB72 MWAKA 1 [emoji117] 16000 TU
BEI HII ITADUMU KWA MASAA 24. BAADA YA HAPO TUNARUDI KWENYE BEI ZA KILA SIKU
KWA sasa ni tigo pekee mkuuLine ya haloteli mnatoa ofa hiyo ?
Na je laini ya zantel mnatoa ?
Mana mbali na tigo natumia laini ya halo na zantel
Sasa nataka nipate kifurush kingine mana huwa natumia kusomea sana yutube
Mkuu naweza kuunga vyote muda wa maongezi na data at per?[emoji881][emoji881]OFAA BAABU KUBWA[emoji881][emoji881]
FREE CALL [emoji117]25000 TU
GB72 MWAKA 1 [emoji117] 16000 TU
BEI HII ITADUMU KWA MASAA 24. BAADA YA HAPO TUNARUDI KWENYE BEI ZA KILA SIKU
Sure mkuuMkuu naweza kuunga vyote muda wa maongezi na data at per?
Shukran sana Mkuu basi nitaenda ofisin kwaoMpaka ujaze fomu uungwe kwenye hio plan ofisi za Tigo, then automatic kinajiunga kila mwezi.
Dm kuna ujumbe kiongoziKWA sasa ni tigo pekee mkuu
Seen