Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

[emoji881][emoji881]OFAA BAABU KUBWA[emoji881][emoji881]

FREE CALL [emoji117]25000 TU
GB72 MWAKA 1 [emoji117] 16000 TU

BEI HII ITADUMU KWA MASAA 24. BAADA YA HAPO TUNARUDI KWENYE BEI ZA KILA SIKU
 
Mkuu nmekucheki pm naona kimya nmeweka na namba kwa akili ya mawasiloano zaidi hii huduma ya call ni kwa kupiga mitandao yote?? Kila mwezi kuna limit ya dakika au ni bila kokomo hata kwa siku ukipiga dakika 100??
Unaunga kwa laini gani ,

kuhusu gb za internet vifurushi vyako hivi vina malilza mwaka kweli naje kila mwezi unapewa gb ngap na ni kwa laini gani.
 
Hili swali lijibiwe hapa ili tujue tunakuja pm au tunabaki hapa hapa
 
Kabisaa mkuu naona jamaa kala winga kali pia kama kuna mtu alisha pata hii huduma na inapiga kazi fresh basi tunaomba atusanue na sie maana hapa mtandaoni mambo mengi mda ni mchache, makanjanja ni wengi japo sio kila mtu ni kanjanja
 
Mkuu nmekucheki pm naona kimya nmeweka na namba kwa akili ya mawasiloano zaidi hii huduma ya call ni kwa kupiga mitandao yote?? Kila mwezi kuna limit ya dakika au ni bila kokomo hata kwa siku ukipiga dakika 100??
Unaunga kwa laini gani ,

kuhusu gb za internet vifurushi vyako hivi vina malilza mwaka kweli naje kila mwezi unapewa gb ngap na ni kwa laini gani.
Ngoja nikuchek mkuu
 
Kabisaa mkuu naona jamaa kala winga kali pia kama kuna mtu alisha pata hii huduma na inapiga kazi fresh basi tunaomba atusanue na sie maana hapa mtandaoni mambo mengi mda ni mchache, makanjanja ni wengi japo sio kila mtu ni kanjanja
Muulize mkuu safuher hapo ila kama unahisi mi ni kanjanja you can just go on and find other offers mkuu sio lazima
 
Kabisaa mkuu naona jamaa kala winga kali pia kama kuna mtu alisha pata hii huduma na inapiga kazi fresh basi tunaomba atusanue na sie maana hapa mtandaoni mambo mengi mda ni mchache, makanjanja ni wengi japo sio kila mtu ni kanjanja
Mkuu mimi ni mmoja wapo wa wanufaika wa hii offa na huyu huyu donlucchese ndo kaniunganisha.

Hivyo sio stori ni mambo kweli yapo jamaa sio tapeli
 
Mkuu labda KWA line tofauti maana kile cha mwanzo bado unacho
Line ya haloteli mnatoa ofa hiyo ?

Na je laini ya zantel mnatoa ?

Mana mbali na tigo natumia laini ya halo na zantel

Sasa nataka nipate kifurush kingine mana huwa natumia kusomea sana yutube
 
KWA sasa ni tigo pekee mkuu
 
[emoji881][emoji881]OFAA BAABU KUBWA[emoji881][emoji881]

FREE CALL [emoji117]25000 TU
GB72 MWAKA 1 [emoji117] 16000 TU

BEI HII ITADUMU KWA MASAA 24. BAADA YA HAPO TUNARUDI KWENYE BEI ZA KILA SIKU
Mkuu naweza kuunga vyote muda wa maongezi na data at per?
 
Back
Top Bottom