Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ni bora uwe unarudia tangazo maana sio kila mtu ataweza pitia posts za nyuma.
It costs time mkuu, ni Bora mtu ascroll up. Shootout KWA wakuu wote niliowaunga wanaoendelea kula mema ya nchi [emoji2][emoji2]
 
Mwenyewe nilitaka kukuuliza hivyo. So it's better uwe unarudia kuli-quote tangazo kila wiki ili kuondoa usumbufu.
 
Mkuu hii royal ya halotel ikoje ina dakika ngapi za mitandao yote naza halotel pia ina gb ngap kwa mda gani kwa hiyo 12000/=!???? Je haikukimit matumizi kwa siku utumie mwisho mb kadhaa??? Vp kuhusu speed naihitaji hii aisee
 
Mkuu mbona hujibu maswali hapa tuntaka huduma hiyo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mkuu hii royal ya halotel ikoje ina dakika ngapi za mitandao yote naza halotel pia ina gb ngap kwa mda gani kwa hiyo 12000/=!???? Je haikukimit matumizi kwa siku utumie mwisho mb kadhaa??? Vp kuhusu speed naihitaji hii aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…