Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ni bora uwe unarudia tangazo maana sio kila mtu ataweza pitia posts za nyuma.
It costs time mkuu, ni Bora mtu ascroll up. Shootout KWA wakuu wote niliowaunga wanaoendelea kula mema ya nchi [emoji2][emoji2]
 
It costs time mkuu, ni Bora mtu ascroll up. Shootout KWA wakuu wote niliowaunga wanaoendelea kula mema ya nchi [emoji2][emoji2]
Mwenyewe nilitaka kukuuliza hivyo. So it's better uwe unarudia kuli-quote tangazo kila wiki ili kuondoa usumbufu.
 
[emoji2422][emoji471][emoji2422][emoji471][emoji2422][emoji471][emoji2422][emoji471][emoji2422][emoji471]
SIMBA NI MABINGWA
FA 2020/2021
[emoji2422][emoji471][emoji2422][emoji471][emoji2422][emoji471][emoji2422][emoji471][emoji2422][emoji471]

[emoji91]PROMOTION KUBWA LEO[emoji91]
Royal ni GB ngapi mkuu?

FREE CALL TIGO 22,000/=
GB72 MWK TIGO 15,000/=
ROYAL HALOTEL 12,000/=

KUSAJILI LINE ZA UWAKALA KWA MAJINÀ YAKO

MPESA 110,000/= (24HRS DONE)
TIGOPESA 110,000/= (24HRS DONE)
AIRTELMOMEY 65,000/= (12HRS DONE)
HALOPESA 20,000/= (12HRS DONE)

NB: Bei hizo ni Punguzo kufatia Ushindi mkubwa wa Simba kule Kigoma Mwisho wa Reli Dhidi ya Watani zetu wa Jadi Yanga. Hakikisha haupitwi hii ni Baaabu Kubwaa

[emoji471] #THIS IS SIMBAAAAAA#[emoji471]
 
Mkuu hii royal ya halotel ikoje ina dakika ngapi za mitandao yote naza halotel pia ina gb ngap kwa mda gani kwa hiyo 12000/=!???? Je haikukimit matumizi kwa siku utumie mwisho mb kadhaa??? Vp kuhusu speed naihitaji hii aisee
 
Mkuu mbona hujibu maswali hapa tuntaka huduma hiyo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Back
Top Bottom