Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #301
unatakiwa uwe na kimoja kati ya hivyo,Mkuu hiyo bando ya airtel ya chuo ina hitaji laini ya chuo tu au ni inahitaji vocha za chuo nikimaanisha inakubali ktk laini yoyote ya airtel
Much respect kwako mkuu jf kiboko yao unapata madini ya thamani sana.unatakiwa uwe na kimoja kati ya hivyo,
ukiwa na vocha za chuo huna haja na line ya chuo, utatumia vocha na line ya kawaida.
ukiwa na line ya chuo hakuna haja ya vocha za chuo.
pia vifurushi vingi vinapatikana bila line ya chuo au vocha za chuo, ukiwa na line ya kawaida na airtel money unavipata kwenye menu ya airtel money, kasoro tu kifurushi cha 10gb kwa 600 ndio sijakiona.
Thanksunatakiwa uwe na kimoja kati ya hivyo,
ukiwa na vocha za chuo huna haja na line ya chuo, utatumia vocha na line ya kawaida.
ukiwa na line ya chuo hakuna haja ya vocha za chuo.
pia vifurushi vingi vinapatikana bila line ya chuo au vocha za chuo, ukiwa na line ya kawaida na airtel money unavipata kwenye menu ya airtel money, kasoro tu kifurushi cha 10gb kwa 600 ndio sijakiona.
No hiyo ni special offer na ni kwa siku 5Chief hii ya voda Gb 3 si kwa line zote?
Mwanzo ilikuwa haitaki. Lakini sasa wamerudisha.asantee
Mhuuu. KweliWameendelea kupunguza bundle, 1500 @ mbs 10 ndani ya wiki ni upuuzi.
Sasa mb 10 za kaz gan? DahWameendelea kupunguza bundle, 1500 @ mbs 10 ndani ya wiki ni upuuzi.
ya voda unafanya pia mkuu??Kama unatumia halotel nitakubadilishia laini yako hiyo hiyo kwa namba yako hiyo hiyo kuwa laini ya chuo. Kwa mitandao mingine sijaweza. Gharama yake ni 10,000/= haina haja ya kuishika laini yako huko huko ulipo ninakupa huduma. Karibu.
mkuu nau wamerudisha km kawaida bundle la chuo.angaliaSasa mb 10 za kaz gan? Dah
Nimeona...naona walikua wanatutest...so far hawa jamaa natumiaga dak zao tu...nipo natumia uni ya voda iko poa sanamkuu nau wamerudisha km kawaida bundle la chuo.angalia
eeh iko vizur mbal na tigoNimeona...naona walikua wanatutest...so far hawa jamaa natumiaga dak zao tu...nipo natumia uni ya voda iko poa sana
Smart hadi mikoani kwani ipo? Halotel yenyewe huwa napanda mlimani ili niipate.jaribu halotel na smart wao ndio wapo poa maeneo ambayo sio ya mjini.
mkuu nau wamerudisha km kawaida bundle la chuo.angalia
wapo maeneo mengi, search network kama una simu yenye quadband utaiona.kama ipo au haipoSmart hadi mikoani kwani ipo? Halotel yenyewe huwa napanda mlimani ili niipate.
amna zmerud zile zile ingia menu *148*00#,Wamerudisha wapi? au ndio unaongelea hizo mb10?
Samahani mkUu...Hio Ni mtandao Gani na bandle lake Ni mda Gani ??*148*33# mkuu ivo