[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu brother wako? Naona mmekomaa kuitana brother from another mother.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ishini maisha ya kufuata utaratibuUtapeli Utapeli , Ukikutana Na Huyu Jamaa Usifanye Nae Biashara Atakuingiza Mjini Kama Alivyoniingiza Mimi Mjini.
Ni tapeli anajifanya anaunga vifurushi kumbe hamna .
Namba yake anayoitumia whatssap huwezi kumpigia maana imezuiliwa .
Yeye anachofanya kuna namba anatumia ili umtumie pesa na ukishamtumia pesa kwa hiyo namba anayopokelea pesa hatokujibu tena.
Pia ana ushawishi huwa anakutumia screenshot etii anaunga kumbe hamna kabisa.
huyu jamaa atawaliza wengi ni tapeli, huwa anakwambia tuma pesa kwa namba hii 0674105583 Fatma Masoud, ili akuunge kwenye vifurushi vya aina mbalimbali tena mitandao yote lakini ukituma pesa unakuwa umeliwa .
Mimi na jamaa yangu tulimtumia elfu 24 na amekula wala hajasaidia chochote.
Hivi vifurushi huwa havipo na nahisi ni utapeli tu , nawaombeni tuendelee kukaza kama walivyokaza wenye mitandao yao . View attachment 1980039View attachment 1980042View attachment 1980043View attachment 1980044
View attachment 1980040
Hahaha.... Huwa inasumbua[emoji317][emoji317],Lakini ikisumbua Huwa Nina alternative [emoji16].ipo 89 now brother
Kweli ila nao ni njia ya kupata chochote.Kwa kisicho cha halali haipendezi , cha mtu huwa hakiendi bure.
Tatizo wana Biti sana ukiona kwa buku GB 5 kwa wiki unaona hapa tayari.Vodacom office zimejaa
Line ya kwako
Menu ya vifurushi unayo!
Unatapeliwaje jaman?
Wakati watu wazima tunalalamika kuuziwa 450MB kwa buku unafikiri hao ma pangβangβa hatujawaonaga? Maisha hayajawahi kuwa mepesi hivyo!Utapeli Utapeli , Ukikutana Na Huyu Jamaa Usifanye Nae Biashara Atakuingiza Mjini Kama Alivyoniingiza Mimi Mjini.
Ni tapeli anajifanya anaunga vifurushi kumbe hamna .
Namba yake anayoitumia whatssap huwezi kumpigia maana imezuiliwa .
Yeye anachofanya kuna namba anatumia ili umtumie pesa na ukishamtumia pesa kwa hiyo namba anayopokelea pesa hatokujibu tena.
Pia ana ushawishi huwa anakutumia screenshot etii anaunga kumbe hamna kabisa.
huyu jamaa atawaliza wengi ni tapeli, huwa anakwambia tuma pesa kwa namba hii 0674105583 Fatma Masoud, ili akuunge kwenye vifurushi vya aina mbalimbali tena mitandao yote lakini ukituma pesa unakuwa umeliwa .
Mimi na jamaa yangu tulimtumia elfu 24 na amekula wala hajasaidia chochote.
Hivi vifurushi huwa havipo na nahisi ni utapeli tu , nawaombeni tuendelee kukaza kama walivyokaza wenye mitandao yao . View attachment 1980039View attachment 1980042View attachment 1980043View attachment 1980044
View attachment 1980040
Licha ya hivyo wewe mwenyewe haujiulizi.Tatizo wana Biti sana ukiona kwa buku GB 5 kwa wiki unaona hapa tayari.
Wabongo hatujawahi judge sisi ni ndio tu.Licha ya hivyo wewe mwenyewe haujiulizi.
Bando anatoa wapi?