Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Utapeli Utapeli , Ukikutana Na Huyu Jamaa Usifanye Nae Biashara Atakuingiza Mjini Kama Alivyoniingiza Mimi Mjini.

Ni tapeli anajifanya anaunga vifurushi kumbe hamna .
Namba yake anayoitumia whatssap huwezi kumpigia maana imezuiliwa .

Yeye anachofanya kuna namba anatumia ili umtumie pesa na ukishamtumia pesa kwa hiyo namba anayopokelea pesa hatokujibu tena.

Pia ana ushawishi huwa anakutumia screenshot etii anaunga kumbe hamna kabisa.

huyu jamaa atawaliza wengi ni tapeli, huwa anakwambia tuma pesa kwa namba hii 0674105583 Fatma Masoud, ili akuunge kwenye vifurushi vya aina mbalimbali tena mitandao yote lakini ukituma pesa unakuwa umeliwa .

Mimi na jamaa yangu tulimtumia elfu 24 na amekula wala hajasaidia chochote.

Hivi vifurushi huwa havipo na nahisi ni utapeli tu , nawaombeni tuendelee kukaza kama walivyokaza wenye mitandao yao . View attachment 1980039View attachment 1980042View attachment 1980043View attachment 1980044

View attachment 1980040
Ishini maisha ya kufuata utaratibu

Njia za panya hazifai

Sasa wewe unamwambia mwizi anajitafutia laana wakati na wewe ni mwizi kama yeye Kwa kununua Mali ya wizi?
 
ipo 89 now brother
Hahaha.... Huwa inasumbua[emoji317][emoji317],Lakini ikisumbua Huwa Nina alternative [emoji16].

Mjini Shule ndiyo,Lakini jasho la mnyonge halitoki bure,Huko ni kujitafutia mikosi KWENYE Maisha na kuanza kumtafuta mchawi Kwa waganga.Kumbe mchawi ni Wewe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mnajua vitu vingine muwe mnajiongeza.
Hivi hayo mabando mnafikiri makampuni ya simu was wanapewa bure?
yeye anatoa wapi hayo mabando?
 
Sijui ndo mwenyewe, na kama sio mwenyewe basi wanafanya the same business model!

Huyu ninayemzungumzia kuna siku niliwahi kumuuliza Instagram "...Hivi kuna mafamba huwa unawapata kwa staili hii"? Hakujibu, na wala sikutarajia kwamba angejibu!

Dah!! Kumbe anawapata aisee!
 
Utapeli Utapeli , Ukikutana Na Huyu Jamaa Usifanye Nae Biashara Atakuingiza Mjini Kama Alivyoniingiza Mimi Mjini.

Ni tapeli anajifanya anaunga vifurushi kumbe hamna .
Namba yake anayoitumia whatssap huwezi kumpigia maana imezuiliwa .

Yeye anachofanya kuna namba anatumia ili umtumie pesa na ukishamtumia pesa kwa hiyo namba anayopokelea pesa hatokujibu tena.

Pia ana ushawishi huwa anakutumia screenshot etii anaunga kumbe hamna kabisa.

huyu jamaa atawaliza wengi ni tapeli, huwa anakwambia tuma pesa kwa namba hii 0674105583 Fatma Masoud, ili akuunge kwenye vifurushi vya aina mbalimbali tena mitandao yote lakini ukituma pesa unakuwa umeliwa .

Mimi na jamaa yangu tulimtumia elfu 24 na amekula wala hajasaidia chochote.

Hivi vifurushi huwa havipo na nahisi ni utapeli tu , nawaombeni tuendelee kukaza kama walivyokaza wenye mitandao yao . View attachment 1980039View attachment 1980042View attachment 1980043View attachment 1980044

View attachment 1980040
Wakati watu wazima tunalalamika kuuziwa 450MB kwa buku unafikiri hao ma pang’ang’a hatujawaonaga? Maisha hayajawahi kuwa mepesi hivyo!
 
Back
Top Bottom