Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hicho cha 1 GB 600 ni cha week chief vip unajua namna ya kijiunga cha week
 
Kwa wanaoitaji huduma ya university offer kwenye laini zao za VODACOM naunganisha kwa maelezo zaidi Njoo pm
 
Mkuu Chief-Mkwawa Hicho kifurushi ulichoandika Voda 800mb kwa 1000.

Mimi huwa wananipa mb1034.

Menu *149*03#
 
Samahani nimeipenda hiyo ya vodacom,sasa nauliza inakuwaje au mpaka laini yangu nirydie kuisajili iwe ya mwanachuo kama halotel wanavyofanya au hata hii hii niliyonayo tu?
 
Samahani nimeipenda hiyo ya vodacom,sasa nauliza inakuwaje au mpaka laini yangu nirydie kuisajili iwe ya mwanachuo kama halotel wanavyofanya au hata hii hii niliyonayo tu?
Kama unaitaji virushi vya chuo vya voda nipm utavipata kwa laini yako hiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…