Sasa mkuu ninkwa mwaka mzima tangu ujiunge au ni kwa mwaka kwamba mwaka huu ukiisha tu na bundle limeisha?Wale wa tigo GB 72 zipo kama kawaida. Though who know, knows! Discreet!
Mwaka mzima mkuu. Ukijiunga this October, ni mpaka October 2022Sasa mkuu ninkwa mwaka mzima tangu ujiunge au ni kwa mwaka kwamba mwaka huu ukiisha tu na bundle limeisha?
Bei gani ?Mwaka mzima mkuu. Ukijiunga this October, ni mpaka October 2022
Wizi wangu uko wapi ? Sisi tunajua wanatoa huduma kweli mbona vodacom hajawahi sema kuna mapateli wa vifurushi ?Ishini maisha ya kufuata utaratibu
Njia za panya hazifai
Sasa wewe unamwambia mwizi anajitafutia laana wakati na wewe ni mwizi kama yeye Kwa kununua Mali ya wizi?
Kabisa mkuu ukitaka uishi vzr usiishi kwa dhuruma maana dhuruma ina madhara makubwa sanaHahaha.... Huwa inasumbua[emoji317][emoji317],Lakini ikisumbua Huwa Nina alternative [emoji16].
Mjini Shule ndiyo,Lakini jasho la mnyonge halitoki bure,Huko ni kujitafutia mikosi KWENYE Maisha na kuanza kumtafuta mchawi Kwa waganga.Kumbe mchawi ni Wewe.
Mkuu mimi najua ni kama seller wa makampuni ndo maana nikanunua ila nikaishia kutapeliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mnajua vitu vingine muwe mnajiongeza.
Hivi hayo mabando mnafikiri makampuni ya simu was wanapewa bure?
yeye anatoa wapi hayo mabando?
Lawapi mkuu jamaa ameshanitapeli"Mkuu mpaka Sasa salio la data halijasoma"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaani hivyo vifurushi hata tigo,voda na wenzao hawana hivyo vifurushiMkuu mimi najua ni kama seller wa makampuni ndo maana nikanunua ila nikaishia kutapeliwa
Hahaaa eti matapeli wa VifurushiWizi wangu uko wapi ? Sisi tunajua wanatoa huduma kweli mbona vodacom hajawahi sema kuna mapateli wa vifurushi ?
TTCL wana bando la usiku mkuu?TTCL nao wamefuta ile 10gb kwa 10,000 kwa wiki sasa imekkuwa gb 7.5 kwa 10,000
Zantel wana bando gani la usiku mkuu?Japo wamebadilisha lakini kawazidi hao jamaa wote waliobaki
Bado kipo hiki?
Namba ngapi kukipata?
Tafuta hotel yenye Mbps za kutosha kadownload.Hivi nina mzigo wa GB 36 natakiwa nidownload
Bando za usiku zimeondolewa imebaki ya Halotel nayo kichefuchefu kweli, 1500 GB 1.1
Yaani hapo natakiwa niwe na elf 50+.........Kudadadazeki walah
Kwambaje, network za hotelini zipo free hivyo kiasi hata mtu ambaye si mteja anaweza kui-access...!?Tafuta hotel yenye Mbps za kutosha kadownload.
Unaagiza hata maji ama soda mkuu. Kama ni kwa kishua hata hata kikombe cha kahawa mkuu.Kwambaje, network za hotelini zipo free hivyo kiasi hata mtu ambaye si mteja anaweza kui-access...!?
Hivi chief, wale voda wana kifurushi cha post paid gb 37 kwa elfu 50 afu wameandika bila kikomo, wanamanisha nini bila kikomo wakati wanasema ni gb37?Tafuta hotel yenye Mbps za kutosha kadownload.