Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Halotel wamezidi uhuni vifurushi vilivyo kwenye app na uhalisia ni mbingu na nchi
Screenshot_20211020-214457_My%20Halotel.jpg


Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Ishini maisha ya kufuata utaratibu

Njia za panya hazifai

Sasa wewe unamwambia mwizi anajitafutia laana wakati na wewe ni mwizi kama yeye Kwa kununua Mali ya wizi?
Wizi wangu uko wapi ? Sisi tunajua wanatoa huduma kweli mbona vodacom hajawahi sema kuna mapateli wa vifurushi ?
 
Hahaha.... Huwa inasumbua[emoji317][emoji317],Lakini ikisumbua Huwa Nina alternative [emoji16].

Mjini Shule ndiyo,Lakini jasho la mnyonge halitoki bure,Huko ni kujitafutia mikosi KWENYE Maisha na kuanza kumtafuta mchawi Kwa waganga.Kumbe mchawi ni Wewe.
Kabisa mkuu ukitaka uishi vzr usiishi kwa dhuruma maana dhuruma ina madhara makubwa sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mnajua vitu vingine muwe mnajiongeza.
Hivi hayo mabando mnafikiri makampuni ya simu was wanapewa bure?
yeye anatoa wapi hayo mabando?
Mkuu mimi najua ni kama seller wa makampuni ndo maana nikanunua ila nikaishia kutapeliwa
 
Hivi nina mzigo wa GB 36 natakiwa nidownload
Bando za usiku zimeondolewa imebaki ya Halotel nayo kichefuchefu kweli, 1500 GB 1.1

Yaani hapo natakiwa niwe na elf 50+.........Kudadadazeki walah
 
Back
Top Bottom