Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivi chief, wale voda wana kifurushi cha post paid gb 37 kwa elfu 50 afu wameandika bila kikomo, wanamanisha nini bila kikomo wakati wanasema ni gb37?
Nadhani ni 50 GB na wanasema spidi inakuwa kasi kwa mpk kiwango hicho cha MB kiishe then Ina drop unaendelea kutumia bure nadhani
 
Nadhani ni 50 GB na wanasema spidi inakuwa kasi kwa mpk kiwango hicho cha MB kiishe then Ina drop unaendelea kutumia bure nadhani
Kabla ya kupinga, fanya tahimini mkuu. Ni elfu 50 kwa gb37

Anyway nimekusoma, kwenye huo ufafanuzi
 
Huu ushauri itabidi niujaribu.
Una mapendekezo yoyote mkuu?
Mkuu si lazima hata Hotel hapa kkoo kuna zuku kila mtaa, tena Package kali za 50mbps. Watu wanachanga 10 kila mtu 10,000 wanavuta zuku. Hizi wifi ni za mchana tu, jioni hakuna anayetumia sababu watu wameshafunga maduka kama una mtu unaemjua anakupigia pande.

Alternative hotel almost zote za upanga, ile obey mpaka masaki zina wifi sema nyingi ni 10mbps, kama una file kubwa unakesha. Kuna app za password za wifi playstore kama kumbukumbu zipo sahihi Wanaonesha na speed ya wifi husika.
 
Mkuu App gani umewahi pata nayo matokeo positive?? Nimejaribu nyingi sana bila mafanikio huwa naona ni fake tu wanatafuta revenue za Ads zao. Kama ipo ambayo umepata nayo matokeo share nasi jina lake.
 
Kifupi mkuu hizi app hazina tofauti na true caller, ukiweka kwenye simu yako unazipa ruhusa kusoma password za wifi zako, hivyo zinakuwa sio 100% sahihi unless hio sehemu hawaja adili password muda mrefu.

So password unazo ziona pale sio 100% sahihi sababu inaweza kuwa ya miaka 4 iliopita ila pia nyengine ni sahihi.

Siwezi kuweka kwenye simu sasa hivi sababu nina password za watu nyingi ila nikiwa na simu extra nitakwambia
 
Kabla ya kupinga, fanya tahimini mkuu. Ni elfu 50 kwa gb37

Anyway nimekusoma, kwenye huo ufafanuzi
Tumepishana kidogo mkuu kwa maelezo yako nilijua unamaanisha kifurushi cha Kasi internet ndo ambacho ni 50 GB.
 
Hii ishu ya zuku nikitoka kuongea na mwanangu tukasema ingekuwa imesambaa watu mnachanga mnavuta mzigo.
Ngoja niwacheki watu wangu wa kkoo.
 
Mkuu, jina la hizo Apps tafadhali
 
Hakuna mtandao ambao una unafuu kupata bundle Kwa Bei nafuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…