Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #3,601
Itakua speed bila kikomo sina uhakika.Hivi chief, wale voda wana kifurushi cha post paid gb 37 kwa elfu 50 afu wameandika bila kikomo, wanamanisha nini bila kikomo wakati wanasema ni gb37?