Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Nahitaji, utaratibu wa kupata upoje.Nauza vocha za Airtel kwa punguzo la 20%. Vocha ya 1000 nakuuzia kwa 800. Karibuni
Upo uhalisia mkuuHii vipi ina uhalisia? Ama ni janja janja? Menu yake ni ipi?
Ipo hii mkuu sema ni zile za kuungwa "kama ilivyo ada"Duuuh hii ina ukweli kiasi gani?
Unahitaji za shilingi ngapi mkuu?Nahitaji, utaratibu wa kupata upoje.
Je huwa unazo mara zote mtu akihitaji?? Je unazo zote yaan moja na zile za nusu?Unahitaji za shilingi ngapi mkuu?
Sasa wewe unaunga watu voda lakini mwenyewe unatumia zantel60 Gbs + 1000min all net (Vodacom) @45,000.
0778049683
Malipo baada, kabla au vyovyote mkuu.OFA YA
WEEKEND
TIGO GB72
BEI 12000 TU
Akikujibu nitagMalipo baada, kabla au vyovyote mkuu.
Mkuu haina dakika za kuongea?OFA YA
WEEKEND
TIGO GB72
BEI 12000 TU
Mi nashangaa watu wanakuja kichwa kichwa tu yaan watalia mpaka washangae yan mtu anakutumia screenshot ya message kutoka voda afu ina sehemu ya kureply,,,[emoji848] hv msg kutoka voda huwa znakuwa na sehem ya kureply?Kuna vilio hapa vitatawala siku si nyingi
Usikariri Hiyo ni App ya Google Message Ndio huwa inatoa Option ya Kutoreply. Ila Ukidownload Message Apps zingine Zinakuwa na Option ya Reply bila Shida.Mi nashangaa watu wanakuja kichwa kichwa tu yaan watalia mpaka washangae yan mtu anakutumia screenshot ya message kutoka voda afu ina sehemu ya kureply,,,[emoji848] hv msg kutoka voda huwa znakuwa na sehem ya kureply?