Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

.
Screenshot_2021-11-07-12-23-56-57_426a5588c5110cd01d5af17e47adb223.jpg
 
Nikiangalia hz picha zako ulizotuma, naona kuna sehemu ya kujibu sms yaani kureply. Watu kuweni makn jaman msg yyte kutoka voda hainaga sehem ya kujibu sms

Hv sku hz voda wana support reply?? Mana mi natumia halotel wao hawa support reply!![emoji848]
Screenshot_20211107-163004.jpg
 
Mi nashangaa watu wanakuja kichwa kichwa tu yaan watalia mpaka washangae yan mtu anakutumia screenshot ya message kutoka voda afu ina sehemu ya kureply,,,[emoji848] hv msg kutoka voda huwa znakuwa na sehem ya kureply?
Usikariri Hiyo ni App ya Google Message Ndio huwa inatoa Option ya Kutoreply. Ila Ukidownload Message Apps zingine Zinakuwa na Option ya Reply bila Shida.
 
Back
Top Bottom