Ujue kila mtu na imani zake.... Kama unataka amini kama hutaki basi.Sasa wewe unaunga watu voda lakini mwenyewe unatumia zantel
Jamaa unatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha hapa jukwaani😂Ujue kila mtu na imani zake.... Kama unataka amini kama hutaki basi.
Kumekua na matapeli wengi ndio maana but this is Legit. View attachment 2002376
Nguvu ipi Boss?Jamaa unatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha hapa jukwaani[emoji23]
Watu tushaungwa tunakula bata tuMalipo baada, kabla au vyovyote mkuu.
Kifupi mkuu kuna member ni wakongwe humu Pengobovu na donlucchese ni wa siku nyingi sana wanaaminika. Kuwa tu makini na members wapya ambao hawafahamiki.Kama huamini kaa na utomaso wako,Mtu akikudhulumu 12000 elf atafika nayo wapi?Japo matapeli ni wengi ila kuwa na imani na watu,bado kuna watu waaminifu tuu.Fuatilia uzi tangu mwanzo utaona watu wanakiri kuunganishwa.
Utachelewa sana kupata mafanikio mkuu,jinsi unavyozamisha mashine yako kwenye shimo ambalo hujui undani wake,ndo jinsi unavyotakiwa kuzama na kuchangamkia fursa.Jamaa unatumia nguvu nyingi sana kutuaminisha hapa jukwaani[emoji23]
Je vya tigo vya mwezi vikoje?Nguvu ipi Boss?
Tigo mwezi hakuna kuna vya mwaka Gb72Je vya tigo vya mwezi vikoje?
oh okay nimekuelewa. Je mtandao mwingine wowote cha mwezi upande wa data zaidi?Tigo mwezi hakuna kuna vya mwaka Gb72
6gbs per month ila inatakiwa utumie within 14 days.
Hapo ni Voda tu. Kilichopo kwa sasa ndo hicho cha 61 gbs + 1000mins all netoh okay nimekuelewa. Je mtandao mwingine wowote cha mwezi upande wa data zaidi?
Mkuu unatuhakikishia kuwa hawana ShidaKifupi mkuu kuna member ni wakongwe humu Pengobovu na donlucchese ni wa siku nyingi sana wanaaminika. Kuwa tu makini na members wapya ambao hawafahamiki.
unafanya bei gani?Hapo ni Voda tu. Kilichopo kwa sasa ndo hicho cha 61 gbs + 1000mins all net
45kunafanya bei gani?
Shingapi?Hapo ni Voda tu. Kilichopo kwa sasa ndo hicho cha 61 gbs + 1000mins all net
hao niliowataja ndioMkuu unatuhakikishia kuwa hawana Shida
Nataka dakika tu za kwenda.mitandao yoteOFA YA
WEEKEND
TIGO GB72
BEI 12000 TU
Hizi ni za mwezi au mwaka?
Mwezi hizoHizi ni za mwezi au mwaka?