Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sasa wewe unaunga watu voda lakini mwenyewe unatumia zantel
Ujue kila mtu na imani zake.... Kama unataka amini kama hutaki basi.
Kumekua na matapeli wengi ndio maana but this is Legit.
IMG-20211107-WA0012.jpg
 
Kama huamini kaa na utomaso wako,Mtu akikudhulumu 12000 elf atafika nayo wapi?Japo matapeli ni wengi ila kuwa na imani na watu,bado kuna watu waaminifu tuu.Fuatilia uzi tangu mwanzo utaona watu wanakiri kuunganishwa.
 
Kifupi mkuu kuna member ni wakongwe humu Pengobovu na donlucchese ni wa siku nyingi sana wanaaminika. Kuwa tu makini na members wapya ambao hawafahamiki.
 
Back
Top Bottom