Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Jmn kuna hiki kifurushi kipya wamezindua ttcl una unachagua ww mwenyewe nini unataka kama ni mb unaandika unataka ngap dakika na sms zote hivo ivo unajaza unataka kiasi gani kisha wakakupa bei yake kisha ndo unalipia kwa njia ya ttcl pesa au salio la kawaida ni ww tu

Ona hapo kweny picha nmejaribu kununua cheki bei zake
 
Jaribu hii wataleta shilingi ngapi
Mb 1024
Sms 0
Sms 0
 
Asante mkuu kwa kutambua thaman yangu huduma bado ipo Malipo Ni baada ya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…