Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
Ngoja waje wakuu wengne mm Nina call tu kwa saivMwenye kifurushi hiki cha tigo gb10,
NB;kiwe gb10 sio gb6 wala gb 7 kwa mwka mzima kila mwezi kina jirudia na pia kiwe cha kutumia siku zote za mwezi sio mambo yale ya siku 14 tu ndani ya mwezi
NB; KISIWE CHA KUTUMIA SIKU 14 TU ZA MWEZI HUSIKA KIWE CHA KUTUMIA SIKU ZOTE NDANI YA MWEZI HUSKA ILA HATA KAMA HAKINA SIFA HII KIKAWA CHA GB10 NITAHITAJI HIVO HIVO
KWA MWENY NACHO NAMUOMBA ASEME NIMFATE PM AU AJE MWENYEWE.. donlucchese, Pengobovu, Mr kiuno cheif mkwawa mkuje hapa naana nyie hamshindwi na jambo mnipe connection mwenzenu nateseka.
GB 72 kwa mwaka mzima ambapo kila mwez unapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzimaKwa kifurshi kipi sas?
Labda kwa laini 2 tofaut ila ngoja wajuvi zaidi waje watuambiehivi hiki huwezi kuunga mara 2
Kwa lain tofauti Ni sawaLabda kwa laini 2 tofaut ila ngoja wajuvi zaidi waje watuambie
Vifurushi hivi vya voda mambo yakikaa vyema vitakua hewani leoHivi bado vipo donlucchese mkuu
Vifurushi hivi vya voda mambo yakikaa vyema vitakua hewani leoGB 10 + DK 1000 KWA 20,000
GB 20+DK 1000 KWA 25,000
GB 30+ DK 1000 KWA 30,000
GB 40+ DK 1000 KWA 40,000
GB 60+ DK 1000 KWA 45,000
NB: HIZI DAKIKA NI KWA MITANDAO YOTE BILA SMS
(VODACOM ONLY)
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Itakuwa safi sanaaVifurushi hivi vya voda mambo yakikaa vyema vitakua hewani leo
NasubiriVifurushi hivi vya voda mambo yakikaa vyema vitakua hewani leo
Tigo miyeyusho sanaa , yani toka juzi nikipiga simu mala ikate mala iite , mala hausikiki ni shidaaaaaaa
Me nataka ya 3Kazi ya voda tayari wakuu [emoji116][emoji116][emoji116]
Offer Za VodaCom
Pata Gb 16 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.
Pata Gb 7,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.
Pata Gb 23,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.
Pata Gb 32 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.
Pata Gb 48 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 56,000.Tu.
Pata Gb 64 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 74,000.Tu.
Note..Bei Haipungui Kwa Kila Package..!
Ya tatu kwa namna ipi kiongozi??
Nataka GB 32 hyoo ya mwezi.Ya tatu kwa namna ipi kiongozi??
Siyo lazima mkuu wenye uhitaji wanakuja na niliowahi fanya nao kaziWeka namba uchekiwe, PM na hizi FAKE ID wapi na wapi
Fuata utaratibuKwani huko PM hutotoa namba yako?