Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Jipatie bando bure kwa watumiaji wa vodacom, airtel, halotel na Tigo bonyeza *33*0000# alafu ok utajipatia GB 10 papo hapo.
Japo sijajaribu lakini na wasiwasi na huduma hii.

Kama ni ya uongo hufai kuwepo JF, humu ni watu wanaojielewa na si vinginevyo. Mambo ya ajabu hufanyika Facebook.

Tujifunze kuheshimu platform TAHADHARI!!
 
Kuna wenye unafuu kuliko voda huko kwa sasa?
 

Attachments

  • 4E1EDFC3-B91E-4677-ACE8-F41032C2B1EA.png
    4E1EDFC3-B91E-4677-ACE8-F41032C2B1EA.png
    9.2 KB · Views: 4
Wateja wangu mnaokuja kwa kunijaribu msijisumbue Kama unakuja upo seriously ndyo nitafanya nao kazi....Kama haupo seriously stak usumbufu mtu unaungwa afu unaniblock ukiniblock hunikomoi huduma naitoa tu. XO nahitaji walio seriously.
 
Back
Top Bottom