ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,757
Raha. Comwakuu me naitaji kufunga wifi ambayo itakua unlimited so ni campuni gani nzur na unapata mbps ngap na kwa kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha. Comwakuu me naitaji kufunga wifi ambayo itakua unlimited so ni campuni gani nzur na unapata mbps ngap na kwa kiasi gani?
Japo sijajaribu lakini na wasiwasi na huduma hii.Jipatie bando bure kwa watumiaji wa vodacom, airtel, halotel na Tigo bonyeza *33*0000# alafu ok utajipatia GB 10 papo hapo.
Jukwaa limevamiwJipatie bando bure kwa watumiaji wa vodacom, airtel, halotel na Tigo bonyeza *33*0000# alafu ok utajipatia GB 10 papo hapo.
Jamaa inabidi apewe ban ya siku 30Mwongo tu huyo *33*0000# hyo ni call bearing enabled
Sasa Kama umebonyeza hiyo fanya hivi ili kuitoa #33*0000#
BannedJamaa inabidi apewe ban ya siku 30
You're very ignoramus!!Banned
Kama unadhani ni ujanja, basi huo ni ufal.a, ushamba, na ulimbukeni. Humu kuna watu wenye uelewa tofauti. Sasa unapata nini unapowa-deceive kama sio ungese?!Banned
Kiongozi, kabla sijakusumbua PM, hii kitu bado ina-exist?!
Yenyew sanaaKiongozi, kabla sijakusumbua PM, hii kitu bado ina-exist?!
#33*0000#
Daah tutaisoma namba mpaka lini?Hiki ni "Jiachie internet"View attachment 2021730
Mpaka Jesus arudi kunyakua wateule [emoji23]Daah tutaisoma namba mpaka lini?
Hatari sanaMpaka Jesus arudi kunyakua wateule [emoji23]
Nilijua uongo kumbe kweli buana dar super uni vodacomKuna wenye unafuu kuliko voda huko kwa sasa?
Mbna wewe una nafuu. Mimi 3000 napew 1.5gbKuna wenye unafuu kuliko voda huko kwa sasa?
naomba vifurushi vya halotel au tigo
Mimi nimekimbia halotel ss najiunga voda ya buku 3 nateleza..Kuna wenye unafuu kuliko voda huko kwa sasa?