Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Sawa wewe unayeamin hivyoKwa jibu hilo, kuna harufu ya utapeli.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa wewe unayeamin hivyoKwa jibu hilo, kuna harufu ya utapeli.
Mkuu PM yako imefungwa?!Ya tatu kwa namna ipi kiongozi??
Hii code itaua laini zetu jamanJamaa inabidi apewe ban ya siku 30
Tumia hii #35*0000*11# kwa kujitoa .Nimepga hyo ya kujitoa unakuja huu ujumbe,,,,msaada tafadhali laini haitumi mesej imegoma kabisaView attachment 2055847
Yule mtu aliyeleta zile code siyo mzalendo kabsa walahiTumia hii #35*0000*11# kwa kujitoa .
Hata Kama mkuu hakupaswa kufanya hviKabisa ila na nyie msipende vya bure
Ikoje?Airtel wamekuja na UNI ofa.
Ikoje mkuuAirtel wamekuja na UNI ofa.
Tsh 1000 unapewa MB 500 siku 7 plus dakikaIkoje mkuu
Hee mbona ni ugonjwa ule ule , nilitegemea buku iwe walau gb 1 kwa wiki , kumbe 500mbs kwa wiki [emoji276] wakati matumizi yangu minimum kwa siku ni 500mbs.Tsh 1000 unapewa MB 500 siku 7 plus dakika
GB kama GB au your freedom app ?Naonganisha TTcl kwa mwezi Elfu 10 Pm me kama unahitaji GB unlimited
nipe namba ya hawaNimepga hyo ya kujitoa unakuja huu ujumbe,,,,msaada tafadhali laini haitumi mesej imegoma kabisaView attachment 2055847
Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.
Vodacom
Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.
-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.
Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.
-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,
Voda ama? Pengine wamebadili hio no.Mimi nina laini ya chuo niliipata mtaani lakini nikipiga *149*42# vinakuja vifurushi vingine nifanyeje.
Nimeku-pm tayariPm me
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hee mbona ni ugonjwa ule ule , nilitegemea buku iwe walau gb 1 kwa wiki , kumbe 500mbs kwa wiki [emoji276] wakati matumizi yangu minimum kwa siku ni 500mbs.
View attachment 2057403