Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Aiseee mimi sijakataa kwamba waaminifu hawapo ila kikubwa mimi kufanya hii kitu labda niungwe kwanza hata sasa hivi niko tayari na hela ipo na haina kazi imesubiri kazi kama hizo mkuu
Tatizo lenu na nyie siyo waaminifu maana wengi waliotaka kulipa baada ya kuungwa walikimbia na hela hawakutoa
 
Tatizo lenu na nyie siyo waaminifu maana wengi waliotaka kulipa baada ya kuungwa walikimbia na hela hawakutoa

Mkuu nakwambiaje anayeunga hata sasa hivi nitoe robo ya pesa aunge na nimalize hela yake na sitaki biashara iwe pm nataka hapa ili kila mmoja wetu ajue aiseee
 
Aaaaaah kwani tapeli si tapeli tu hata angekua humu nimejaribu kukuonesha kwamba hizi biashara wapo waongo sana na mimi sijawahi pata mkweli aiseee
Mkuu acha ubishi watu wa humu hasa hao nilio wataja kweny comment namba 4013 wako poa sana hao wa insta, WhatsApp sjui telegram hamna kitu ni mataperi kabisaa waziwazi wengine unakuta wanakupa link ujoin kweny group zao ila group hamna mwanachama anaruhusiwa kuchangia chochote unakuta mimefungwa ni admn tu anaweza kuandika kitu mkaona sasa kwa mfano ukisha ona dalili kama hizo yaani hapo bado hujashituka tu kuwa unapiwa?? Kama sio taperi kwann afunge group watu wakauliza maswali na kuleta mrejesho wa kuuungwa ama kutapeliwa kama hapa?? Mimi mwenyewe huwa nawaona sana huko insta tena vifurushi vyao vinatamanisha sana gb nyingi kwa pesa kiduchu kwa ivo kuwa makini usiwe mbishi
 
Kwenye huu uzi walishatajwa watu wa uhakika na waaminifu au hujausoma uzi wote unaamua kutuchosha tu
Kabisaa mkuu asome uzi wote aache kurukia uzi tena walitajwa na mtu mkubwa na tunae mheshimu sana humu @chiefmkwa lakini pia hata sisi wengine hamna mtu alisha wahi leta Malalamiko hapa eti katapeliwa na mtu wa kweny huu uzi kama yupo alete ushahidi tumuumbe mhusika si hapa ni kusaidiana tu na kupunguziana ukali wa maisha coz hawa watu wa mitandao ya simu sio ndugu zetu.
 
Pata Gb Unlimited TTcl kwa mwezi mzima. Kwa shilingi 10k tu kama unahitaji nicheki Pm. Nikuunge.
Mkuu fafanua uweke wazi watu wanataka huduma kama hizi ila huwashawishi coz kila anaeuliza una mwambia aje pm haya mambo ya njoo pm huwa watu wanayaogopa mkuu ila ukiweka hapa utawavutia na wengine wengine mfano mi nataka kujua ni free unlimited kwa mda gani na kwa tsh ngapi au kama kuna alieungwa na huyu mshikaji alete hapa mrejesho watu tupate huduma
 

Kweli
 
Harufu siyo kabisa hapo kuna kupigwa kipigo cha mbwa koko mjihadhari machale yamenicheza
 

Okay haya ndio mambo safi kwa ufafanuzi mkuu kwahiyo tuvumilie
 
Mkuu ww tunakuamini sana wape vijana huduma wapunguze gharama za maisha
 
Mkuu nime ku pm, please njooo tuyajenge.
 
Sijapotea mkuu nilikujibu ulinambia labda tigo mimi nilikua nataka Voda au Halotel kama vipo hata sasa hivi itapendeza.
Hapana mkuu kwangu Ni tgo TU. Na wale wanaotaka uwakala mitandao yote njoo pm hapo hapo ulipo unapata till yako kikubwa uwe na tin namba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…