Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

[emoji2]dah jamaa kakutumia kabisa na picha inadownload, pole mkuu

Yaani huyu mwamba Mungu anamuona nimepigwa na kitu kizito balaaaah jamaa hakujibu sms zangu mpaka leo ila nikimtafuta kwa account nyingine kama mteja mpya anajibu naishia kumwambia Tapeli ww akigundua ni mm anablock tena
 
Shida yako
Huwezi kuunganisha mpaka upewe hela
Mbona wengine ukipata huduma ndio unalipia.

Mimi nlikuchek whatsapp kwa namba 0764...9400 umegoma
Taperi huyu achananeni nae atawaliza kila mtu anamwambia njoo pm kuna nn cha ajabu huko pm kama sio kuibiana na kutapeliana, kama ni uongo kuwa sio taper wajitokeze hata watu wa3 watoe ushuhuda kama wamepata huduma kwa huju jamaa mzurulaji, kama unatoa huduma ya kweli basi unajikosesha hera mwenyewe unga hata watu 2 tu kisha waje hapa watoe ushuhuda na uone utakavo piga hera watu watakufata uwaunge mpaka utawakimbia mwenyewe kwa wingi wao.. Lakin bra bra nyingi hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…