Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ni internet ya simu, za kizamani zile, dial up connection, kama eneo lako kuna mitambo yao wanakuja kukufungia.

Wapigie ama nenda ofisi zao kwa maelezo zaidi.
Miji mipya mingi ttcl awajafika mkuu,kwa sim card hawana vifurushi vya uhakika vya unlimited kama vya voda?
 
Miji mipya mingi ttcl awajafika mkuu,kwa sim card hawana vifurushi vya uhakika vya unlimited kama vya voda?
Sio TTCL mtandao wa simu huu wa 4g na 3g. Ni miundombinu ya kizamani sana wanatumia kwenye Adsl, na ipo Takriban miaka 15 ama 20 iliopita toka enzi za simu za mezani. Sema tu bei ilikuwa kubwa na sasa hivi wameshusha ndio maana waona ina trend sasa hivi.

Speed pia sio kubwa na pengine ikasumbua kwenye baadhi ya mambo ila ni unlimited hivyo worth it mkuu kuulizia. Nenda ofisi za posta/TTCl za mahala kwako kaulizie
 
Poa mkuu,nikajua ile landline ya mpaka watandaze na nguzo,kumbe ni receiver tu ambayo ina 3 na 4 G,au bado sijaelewa mkuu?
 
Offer Za VodaCom

Pata Gb 16 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.

Pata Gb 7,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.

Pata Gb 23,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.

Pata Gb 32 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.

Pata Gb 48 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 56,000.Tu.

Pata Gb 64 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 74,000.Tu.

Note..Bei Haipungui Kwa Kila Package..!
Ingia PM donlucchese
 
Huku mbwinde bado hawajasambaza nguzo mkuu,landline ya ttcl kwa dar sidhani hata kama mbezi mwisho ishafika
Inawezekana mkuu, kipindi kile cha simu za mezani Mbezi ilikuwa bado, hivyo miundombinu inaweza isiwepo.

Ila kuna maeneo yana hii miundombinu na sio city centre.
 
Back
Top Bottom