Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Nime ku pm mkuu plsTTCL OFA YA KUFUNGA MWAKA
PATA
60 GB KWA 35K
100 GB kwa 50k
200 GB kwa 95k
sms 1000 na Dakika 1000
3 months
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nime ku pm mkuu plsTTCL OFA YA KUFUNGA MWAKA
PATA
60 GB KWA 35K
100 GB kwa 50k
200 GB kwa 95k
sms 1000 na Dakika 1000
3 months
Hii baab kubwaTTCL OFA YA KUFUNGA MWAKA
PATA
60 GB KWA 35K
100 GB kwa 50k
200 GB kwa 95k
sms 1000 na Dakika 1000
3 months
Hzo zote Zina sms hzo na Dak ama sijaelewa mkuuTTCL OFA YA KUFUNGA MWAKA
PATA
60 GB KWA 35K
100 GB kwa 50k
200 GB kwa 95k
sms 1000 na Dakika 1000
3 months
uyo Pengobovu ni uakika aseeee ata mimi alishawai kuniunga
Hii huduma nilikuwa nayo zamani kutoka Tigo. Kwa 8Gb ila Kwa mwaka mmoja. Then sikuweza tena kupata mtu wa kuniunganisha
Bado ipo mkuu GB 72 kwa mwaka mzima nakuunga mkuuHii huduma nilikuwa nayo zamani kutoka Tigo. Kwa 8Gb ila Kwa mwaka mmoja. Then sikuweza tena kupata mtu wa kuniunganisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu mizinguo tuwateja wa Mzurulaji naomba mtoe uthibitisho wa huduma ili watu tufanye biashara.
asante kwa msaada wako.Hamna kitu mizinguo tu
Kuweni makini hamna kifurushi kama hicho mimi ni shuhuda mtalia na kusaga menoMuda utasema tunafunga mwaka kwa Ofer ya huakika pata Gb unlimited kwa 5,000 tu ndani ya mwezi mzima Hii ni kwa Ttcl tu. Nicheki Pm uufurahie mwaka huku ukiwa na bando la kutosha.Wahi Ofa hii ni ya leo tu.
Huyo jamaa amekaa kitapeli sana.Kuweni makini hamna kifurushi kama hicho mimi ni shuhuda mtalia na kusaga meno
Ni tapeli full atakupa app fulani ya vpn uinstall itafanya kazi kwa muda halafu itagoma full baada ya kama siku mojaHuyo jamaa amekaa kitapeli sana.
Tunamwambia atoe uthibitisho lakini analuka luka kama maharage.
Huyu anapaswa apigwe BannNi tapeli full atakupa app fulani ya vpn uinstall itafanya kazi kwa muda halafu itagoma full baada ya kama siku moja
poaMkuu nicheki kwa ile namba nikuunge kwanza ndio ulipie hii ofa nakupa wewe tu.
Hakuna simu uliyonipigia wala maelezo ambayo sijafataMkuu Nilikupigia Hadi simu kukupa maelekezo mpaka sasa hivi bado hujakamilisha chochote?
Jaman uyu jamaa msimuamini kbsa mim tayar ameshanipga za uso na hela kagoma kuludshaMkuu nicheki kwa ile namba nikuunge kwanza ndio ulipie hii ofa nakupa wewe tu.
Acha utapeliWatu wa JF bana. Mimi tena nimeshakupiga wakati maelekezo huyafati unasema huelewi
Itapendeza sanaLeo usiku nikitulia nitaunga hata watu watatu bure. Ili ijulikane moja.