msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Na nyie mtakao ungwa bure subiri baada ya siku tatu mtaleta mrejesho hapaItapendeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie mtakao ungwa bure subiri baada ya siku tatu mtaleta mrejesho hapaItapendeza sana
Shida ni kuunga au shida ni baada ya muda fulana vitu vyako vinagoma kufanya chochote kama siyo usanii ni nini sasa?Leo usiku nikitulia nitaunga hata watu watatu bure. Ili ijulikane moja.
Kitu inakata zaidi ya masaa kumi na kitu huo kama siyo utapeli ni nini ? Halafu hukuwa wazi ungesema unatumia ujinga wa mavpn uone kama ungepata mtuNi sawa natumia VPN lakini watu hawajui VPN zinacheza na Sever ikikata kidogo tu anasema ametapeliwa sijamblock na bado tunawasiliana na kila habari mpya nampa taarifa mtu lakini bado anakuita tapeli. Kuna wawili wakabisa wamenielewa na wanakula maisha.
Watu wanapenda sana vya BureLeo usiku nikitulia nitaunga hata watu watatu bure. Ili ijulikane moja.
Waambie watu kwamba unatumbia Ha tunnel wala sio ujanja mwingine, tena yenye spidi ya kobeMuda utasema tunafunga mwaka kwa Ofer ya huakika pata Gb unlimited kwa 5,000 tu ndani ya mwezi mzima Hii ni kwa Ttcl tu. Nicheki Pm uufurahie mwaka huku ukiwa na bando la kutosha.Wahi Ofa hii ni ya leo tu.
Hp tunnel hyo nayo mtu alipie duh hii in hi ngumu sanaWaambie watu kwamba unatumbia Ha tunnel wala sio ujanja mwingine, tena yenye spidi ya kobe
usile Hela za Watu kizamani hivyo
wakati ikiwa Hot nakumbuka niliwahi kutoa buku 5, nikapewa Hat File ya Halotel. Nikatumia miezi miwili wakaja wakaifunga, mitandao yote.Hp tunnel hyo nayo mtu alipie duh hii in hi ngumu sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mie kushusha mizigo na online video. Daaah kwa siku mpk GB15 zinaisha na sikutoaga hata Senti mojawakati ikiwa Hot nakumbuka niliwahi kutoa buku 5, nikapewa Hat File ya Halotel. Nikatumia miezi miwili wakaja wakaifunga, mitandao yote.
ishu ya Ha tunnel ilikuwa bomba sana maana hata Mpira nilikuwa naangalia dakika 90, natumia 2Gb of data!
kwa sasa Ha tunnel sio deal maana hata developer wake anasema watanzania ni Wanafiki, ukitengeneza File wanauza ama wanatoa taarifa kwenye mtandao Husika inafungiwa.
Yeah Ha tunnel iliokoa wengi.Mie kushusha mizigo na online video. Daaah kwa siku mpk GB15 zinaisha na sikutoaga hata Senti moja
Mkuu naomba nipate offer hiiLeo usiku nikitulia nitaunga hata watu watatu bure. Ili ijulikane moja.
Mkuu kwema? Nahitaji na mimi nipate bando kama hili
Hii ni prepaid mkuuMkuu kwema? Nahitaji na mimi nipate bando kama hili
Je nisipounganishwa malalamiko yangu ntayapeleka wapi mkuu?Hii ni prepaid mkuu
Vodacom bando likoje mkuu?Hii ni prepaid mkuu
Prepaid mkuu maana yake unalipia huko huko tigo au kwa wakala mimi sihusikiJe nisipounganishwa malalamiko yangu ntayapeleka wapi mkuu?
Jaribu kuangalia kwenye posts mkuuVodacom bando likoje mkuu?
GB ngapi kwa mda gani?
Mkuu habar naweza pata bando hili Halotel