Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #4,041
Ni internet ya simu, za kizamani zile, dial up connection, kama eneo lako kuna mitambo yao wanakuja kukufungia.
Wapigie ama nenda ofisi zao kwa maelezo zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni internet ya simu, za kizamani zile, dial up connection, kama eneo lako kuna mitambo yao wanakuja kukufungia.
AsanteNi internet ya simu, za kizamani zile, dial up connection, kama eneo lako kuna mitambo yao wanakuja kukufungia.
Wapigie ama nenda ofisi zao kwa maelezo zaidi.
Daah[emoji38][emoji38]Jipatie bando bure kwa watumiaji wa vodacom, airtel, halotel na Tigo bonyeza *33*0000# alafu ok utajipatia GB 10 papo hapo.
Miji mipya mingi ttcl awajafika mkuu,kwa sim card hawana vifurushi vya uhakika vya unlimited kama vya voda?Ni internet ya simu, za kizamani zile, dial up connection, kama eneo lako kuna mitambo yao wanakuja kukufungia.
Wapigie ama nenda ofisi zao kwa maelezo zaidi.
Sio TTCL mtandao wa simu huu wa 4g na 3g. Ni miundombinu ya kizamani sana wanatumia kwenye Adsl, na ipo Takriban miaka 15 ama 20 iliopita toka enzi za simu za mezani. Sema tu bei ilikuwa kubwa na sasa hivi wameshusha ndio maana waona ina trend sasa hivi.Miji mipya mingi ttcl awajafika mkuu,kwa sim card hawana vifurushi vya uhakika vya unlimited kama vya voda?
Poa mkuu,nikajua ile landline ya mpaka watandaze na nguzo,kumbe ni receiver tu ambayo ina 3 na 4 G,au bado sijaelewa mkuu?Sio TTCL mtandao wa simu huu wa 4g na 3g. Ni miundombinu ya kizamani sana wanatumia kwenye Adsl, na ipo Takriban miaka 15 ama 20 iliopita toka enzi za simu za mezani. Sema tu bei ilikuwa kubwa na sasa hivi wameshusha ndio maana waona ina trend sasa hivi.
Speed pia sio kubwa na pengine ikasumbua kwenye baadhi ya mambo ila ni unlimited hivyo worth it mkuu kuulizia. Nenda ofisi za posta/TTCl za mahala kwako kaulizie
Mb ngap na wapi vipoVoda wana vifurushi vyao special,unlimited vinaanzia elfu 50 hadi laki na 50,kiujumla vimetulia,acha tu niwapongeze
Ingia PM donluccheseOffer Za VodaCom
Pata Gb 16 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.
Pata Gb 7,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.19,500.Tu.
Pata Gb 23,Dk 1200(Yote) & Sms 200 Kwa Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.
Pata Gb 32 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh.37,000.Tu.
Pata Gb 48 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 56,000.Tu.
Pata Gb 64 Za Internet Za Mwezi 1 Kwa Tsh. 74,000.Tu.
Note..Bei Haipungui Kwa Kila Package..!
Hio ya landline ndio adsl mkuu.Poa mkuu,nikajua ile landline ya mpaka watandaze na nguzo,kumbe ni receiver tu ambayo ina 3 na 4 G,au bado sijaelewa mkuu?
Huku mbwinde bado hawajasambaza nguzo mkuu,landline ya ttcl kwa dar sidhani hata kama mbezi mwisho ishafikaHio ya landline ndio adsl mkuu.
Ukienda vodashop yoyote watakupa muongozo
Inawezekana mkuu, kipindi kile cha simu za mezani Mbezi ilikuwa bado, hivyo miundombinu inaweza isiwepo.Huku mbwinde bado hawajasambaza nguzo mkuu,landline ya ttcl kwa dar sidhani hata kama mbezi mwisho ishafika
Ipo na satelite pia Konnect kwa 70000 kwa mwezi sema inalipiwa kwa mwaka.Huku mbwinde bado hawajasambaza nguzo mkuu,landline ya ttcl kwa dar sidhani hata kama mbezi mwisho ishafika
So unatakiwa ulipe kwa mwakaIpo na satelite pia Konnect kwa 70000 kwa mwezi sema inalipiwa kwa mwaka.
Ndio sababu wanakupa kila kitu bure, Dishi na vifaa vyake. Ila nafkiri baadae unaendelea kulipia kwa mwezi. Hii inasaidia watu wasikimbie na madishi.
Wilson Magambo kiongozi mrejesho
Mkuu fafanua vizuriNdio sababu wanakupa kila kitu bure, Dishi na vifaa vyake. Ila nafkiri baadae unaendelea kulipia kwa mwezi. Hii inasaidia watu wasikimbie na madishi.
Ni satelite internet ile unaweka dishi unapata internet. Ipo slow ping ila speed ya kudownload kubwa.Mkuu fafanua vizuri