Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kitu inakata zaidi ya masaa kumi na kitu huo kama siyo utapeli ni nini ? Halafu hukuwa wazi ungesema unatumia ujinga wa mavpn uone kama ungepata mtu
 
Muda utasema tunafunga mwaka kwa Ofer ya huakika pata Gb unlimited kwa 5,000 tu ndani ya mwezi mzima Hii ni kwa Ttcl tu. Nicheki Pm uufurahie mwaka huku ukiwa na bando la kutosha.Wahi Ofa hii ni ya leo tu.
Waambie watu kwamba unatumbia Ha tunnel wala sio ujanja mwingine, tena yenye spidi ya kobe

usile Hela za Watu kizamani hivyo
 
Hp tunnel hyo nayo mtu alipie duh hii in hi ngumu sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
wakati ikiwa Hot nakumbuka niliwahi kutoa buku 5, nikapewa Hat File ya Halotel. Nikatumia miezi miwili wakaja wakaifunga, mitandao yote.

ishu ya Ha tunnel ilikuwa bomba sana maana hata Mpira nilikuwa naangalia dakika 90, natumia 2Gb of data!

kwa sasa Ha tunnel sio deal maana hata developer wake anasema watanzania ni Wanafiki, ukitengeneza File wanauza ama wanatoa taarifa kwenye mtandao Husika inafungiwa.
 
Mie kushusha mizigo na online video. Daaah kwa siku mpk GB15 zinaisha na sikutoaga hata Senti moja
 
Mie kushusha mizigo na online video. Daaah kwa siku mpk GB15 zinaisha na sikutoaga hata Senti moja
Yeah Ha tunnel iliokoa wengi.
ila sasa kuna stark vpn inatoa pack ya 300 mbs per day.
still useful

NB: Kwa mnaokuja PM kuulizia stark vpn, iko hivi:

kuitumia hii sharti uwe na line ya airtel, kisha download hii app.

ukiishiwa data ndio unaingia kwenye setting za Stark vpn reloaded () unaifanyia connection baada ya kuwasha data.

Haihitaji Hat File yoyote

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…