Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Tangu mwanzo ungetangaza unaunga kwa VPN tofauti na ulivyokuja na gia ya kuunga unlimited watu wakadhan wanapata bando kawaida bila vpn sio kila mtu anapenda kucheza na kasi za vpn mara ipo slow mara ipo kasi kiasi.
Nilimuomba jamaa aniunge yeye akaniambia njoo PM, nikamfuata huko pm na kumuuliza huo mchongo upoje badala ya kutoa maelezo yakueleweka akaniambia njoo whatssapp........ nikampotezea maana niliona mbabaishaji tu
 
Anayefahamu kampuni inayotoa huduma ya internet kwa satellite anisaidie. Mahali niliko hakuna cable hivyo lazima uwe na line ya simu. Mimi nahitaji internet ambayo itanihudumia na niwe nalipa kwa mwezi. Kw matumizi ya ofisi

Chief-Mkwawa Mwl.RCT
 
Huyo jamaa anasema hapo anaunga kwa buku 5 mimi kama mdau wa ha tunnel nasema sio uungwana. Download HA tunnel plus halafu ukimaliza sema utaelekezwa jinsi ya kuimport config file
Hizi mambo tumeanza kitambo sana enzi za webproxy,cproxy,PD proxy,Tunnel Guru, open vpn (NMD,VPNbook),Meteor vpn,Sandwich vpn,http injectior etc.
Kamanda e2themiza alikuwa akitoa trick nyingi sana tena bure kabisa isipokuwa chache kama PD proxy zilikuwa za kulipia hela kidogo ya vocha,Chief-Mkwawa , Mr Kicheko, @iskoskaz, Biohazard hawa nao walitoa mchango mkubwa kupata free net bure kabisa kupitia webprox server, open vpn etc.
Wadau hawa wajuu hawakuwa wachoyo kutoa michongo kama hiyo ya hapo juu na Code kama zile za kubypass megabox ya tigo, ile ya kuunga net bila ya hela alafu unadeact then unaunga tena inakubali unlimited ya full speed for free au vocha ya jero tu mwezi mzima.
Kundi lingine ni la kina Paje ,munjy1, Njunwa Wamavoko Mwl.RCT hawa walikuwa seller wa PDproxy,Tunnel guru,Meteor vpn, Sandwich vpn nk.
Mambo ya ujanja ujanja yalikuwa hayapo, mterezo wa free kina Chief-Mkwawa walikuwa wanatoa bure na sellers walikuwa wakiuza zao afu trick zote zilikuwa ni za pc na speed ilikuwa tamu kweli japokuwa tulikuwa tupo 3G.
Wenye tamaa zao ndio walikuja kuharibu hizi mambo kwa kupeleka FB na kwingineko
 
Oya hivyo ulivyoviandika bado vinapatikana?
 
Oya hivyo ulivyoviandika bado vinapatikana?

Hao jamaa walikuwa wanatoa huduma kitambo sana na hata kama wanaendelea kutumia hizo huduma itakuwa ni kimya kimya kama Mo na Ngwea.

Labda kama uliwahi kuwa mteja wao kitambo wanaweza wakakupatia huduma, niliwahi kutumia PDProxy na Tunnel Guru toka kwa Njunwa Wamavoko na Mwl.RCT sijajua kama bado wanatoa hizi huduma labda tusubiri waje kutupa muongozo hapa au PM.
 
Oya hivyo ulivyoviandika bado vinapatikana?
Wakuu kina e2themiza , Mr Kicheko, @iskoskaz wamepotea JF kitambo, Biohazard Nadhani kabadili ID waliobaki wameachana na hizi mambo na kujikita kwenye mambo yao mengine maana hizi ishu ilikuwa ujitoe kweli kutafuta loop hole na kujua mechanism za ufanyaji kazi wa hizo VPN maana hazifanyi zenyewe bila ya config.
CPROX, PD Proxy, Tunnel Guru na Open vpn vipo hadi leo shida ni huo upenyo na config zake.
Kumbuka zinategemea sana open port na free page ya mtandao husika, HTTPS imekuja kufanya mambo kuwa magumu zaidi.
Zilizopo sasa ni za simu ndio hao kina Phspon, ha tunnel etc.
Kitu hiko slow na inadrain battery kinoma
 
Jamaa walikuwa poa sana, unapewa huduma kweli sio longo longo kama hawa wanaokuita pm mara whatssapp......
Nakumbuka nilimlipa Paje kwaajili ya tunnel guru but ikagoma, jamaa alikuja hadi home kunisaidia kuweka sawa config kumbe tatizo lilikuwa line akaniachia line yake nitumie yaani walikuwa na service poa sana
 

Kabisa kiongozi tulifurahia sana huduma zao ilikuwa mtu unashusha mzigo wa kutosha ukija kuangalia kwa mwezi umeshusha mzigo kama wa GB 200+ ni unlimited ya ukweli kabisa mkuu. Acha kabisa.
 
Kabisa kiongozi tulifurahia sana huduma zao ilikuwa mtu unashusha mzigo wa kutosha ukija kuangalia kwa mwezi umeshusha mzigo kama wa GB 200+ ni unlimited ya ukweli kabisa mkuu. Acha kabisa.



Kulikuwa na ule mchongo wa line za Epiq Nation wadau waligundua yaani uukinunua mpya bila ya kuisajili wala kuweka salio unaichomeka tu kwenye modem yako mwendo mdundo.
tulipeana mchongo kiroho safi kabisa bila ya ada zozote sio hawa wa sasa heti hat file wanataka kukukamua buku 10 afu trick yenyewe inakata dakika 0
 

Hatari sana ndugu yangu mambo yamekuwa sio mambo kabisa aisee...!
 
Mkuu binafs waliopata huduma kwangu Kama yupo niliyemtapeli anitag hapa chapu gb 72 kw mwaka mzima KILA mwez gb 6 kwa 14 kwa mwaka mzima kabsaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hizo za kwenye simu hauwezi uka connect na pc kupitia wireless
 
Huu uzi nilikuaga mdau sana miaka ya nyuma ila nikaja kuuacha baada ya kupata GB1 kwa buku wiki nzima, leo nimeurejea baada ya kamati ya roho mbaya kuziba mifereji yote now naona umuhimu wa huu uzi, baada ya serikali kupandisha vifurushi japo nao matapeli wamechukulia kama fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…