Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Huu uzi nilikuaga mdau sana miaka ya nyuma ila nikaja kuuacha baada ya kupata GB1 kwa buku wiki nzima, leo nimeurejea baada ya kamati ya roho mbaya kuziba mifereji yote now naona umuhimu wa huu uzi, baada ya serikali kupandisha vifurushi japo nao matapeli wamechukulia kama fursa
Siyo wote mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hizo za kwenye simu hauwezi uka connect na pc kupitia wireless
Kama una simu yenye RAM ya 3GB jaribu kuunga uone donlucchese hatakupa muongozo hapa na kufanya hotspot lazima utumie PdaNet+ au uroot simu utumie vpn Hotspot ila speed siyo kivile pia simu itachemka na kudrain battery kinoma.
ile ya pc ilikuwa faster sana tena tulikuwa tunaunga hadi modem 2 kwenye pc moja kwa kutumia Connectify Dispatcher unapata speed Amazing ya kushushia magame hadi kustream torrent tv na online tv zinginezo
 
Ilikuwaje kuwaje mpaka hiyo huduma ikawa disconnected?

Watu wana roho mbaya ina maana wakakata hiyo service?

Kweli nimeamini adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe
 
Kama una simu yenye RAM ya 3GB jaribu kuunga uone donlucchese hatakupa muongozo hapa na kufanya hotspot lazima utumie PdaNet+ au uroot simu utumie vpn Hotspot ila speed siyo kivile pia simu itachemka na kudrain battery kinoma.
ile ya pc ilikuwa faster sana tena tulikuwa tunaunga hadi modem 2 kwenye pc moja kwa kutumia Connectify Dispatcher unapata speed Amazing ya kushushia magame hadi kustream torrent tv na online tv zinginezo
Asili ya hizi programs za simu nyingi ni pc, kama mtu anaweza kushare config yake tunaweza kuiport kwenye pc.

Na kweli hotspot inaua battery siku kadhaa tu ukitumia na vpn pamoja.
 
Oya mzee huu mchongo ukitiki msinisahau na mimi

Halotel miyeyusho tu MB zao kama zimetengenezwa kwa barafu, hata usipozitumia zina yeyuka
 
nime download app na ku install bac
Join hii telegram link, utapata file la mtandao unaohitaji , kuimport rahisi tu.
 
Anayefahamu kampuni inayotoa huduma ya internet kwa satellite anisaidie. Mahali niliko hakuna cable hivyo lazima uwe na line ya simu. Mimi nahitaji internet ambayo itanihudumia na niwe nalipa kwa mwezi. Kw matumizi ya ofisi

Chief-Mkwawa Mwl.RCT
Satelite tumia konnect, installation ni bure ila wanataka ulipie mwaka mzima kwanza.

Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.

Back
Top Bottom