Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Siyo wote mkuuHuu uzi nilikuaga mdau sana miaka ya nyuma ila nikaja kuuacha baada ya kupata GB1 kwa buku wiki nzima, leo nimeurejea baada ya kamati ya roho mbaya kuziba mifereji yote now naona umuhimu wa huu uzi, baada ya serikali kupandisha vifurushi japo nao matapeli wamechukulia kama fursa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app