Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Tupo pamoja mkuuOkay Mr kiuno ni mwanifu sina kupinga kwa sasa..
Ametoka kuniunga mda si mrefu na natwanga tigo tigo bila salio hilo ni la uhakika...
Ila namshauri awe wazi kabla ya kuunga kifurushi chake aseme ukweli unaweza piga tigo tigo moja kwa moja bila kikwazo chochote ila kupiga mitandao mingine ni mpaka uingize code...which kwa mimi ni kama usumbufu na hilo jambo angeniambia mapema ingekua vyema sana...
Sababu kuu wakati mwingine nakua busy na nahitaji kupiga simu za haraka sitakua na mda wa kuingiza code na kutoa na kuweka tena...
Asante kwa huduma yako kaka.
Zipo muda huu njoon chapu chapuVodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hawa ndio watanifaaa sasaVoda wenyewe ndio wanauza,mimi natumia kwenye router so waliniuzia hiyo sim card na kuniunga kwenye iko kifurushi,kwenye menu yao ya *149*01# utakikuta iko kifurushi kwenye internet then nenda kasi internet,ila nakushauri uende ofisini kwao wakuelekeze zaidi,ni unlimit kweli kwa elfu 50 nafanya fujo zote za internet kwa mwezi mzima,netflix,youtube n.k
View attachment 2061523
Aliniunga kifurushi kimoja cha kimagumashi alafu akawa anfosi nije kutoa ushuhuda humu. Nikaamua kupoteza maana buku 9 tu inipe shidaWewe ni mwizi shenzi kabisa hela yangu umekula halafu unabwabwaja hapa hutupati tena fala wewe
Tgo GB 72 zipo leo pia call ipoAliniunga kifurushi kimoja cha kimagumashi alafu akawa anfosi nije kutoa ushuhuda humu. Nikaamua kupoteza maana buku 9 tu inipe shida
Nishakujibu mkuuMzee nimekupm naona hujaona sijui
Huduma bado ipo??
Gb zote unalipia kablaBei gani, unalipa kabla au baada?
Ata mimi alishawai kunipga elf sitaAliniunga kifurushi kimoja cha kimagumashi alafu akawa anfosi nije kutoa ushuhuda humu. Nikaamua kupoteza maana buku 9 tu inipe shida
Pole mkuu Ila Amin hyo pesa aliyoichukua kwako alishaitumia naikumsaidia Chochote Mimi nilikuwa natoa gb pay after mtu unamuunga tu akishapata sms anakublock na ukimpigia anaanza kukuuliza iv wewe Nan ohoo mm MKE wa mtu usinisumubue aiseeeAta mimi alishawai kunipga elf sita
Karibu sana mkuu natambua umuhimu wako aiseeHivi Vifurushi Vidumu mpka Mwisho wa Mwezi huu nichukue Tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mwizi shenzi kabisa hela yangu umekula halafu unabwabwaja hapa hutupati tena fala wewe
[emoji1787][emoji1787] pole mkuu ila uaminifu ni kitu kizuri aisee na ili ufanikiwe ni bora kuwa muaminifu.Pole mkuu Ila Amin hyo pesa aliyoichukua kwako alishaitumia naikumsaidia Chochote Mimi nilikuwa natoa gb pay after mtu unamuunga tu akishapata sms anakublock na ukimpigia anaanza kukuuliza iv wewe Nan ohoo mm MKE wa mtu usinisumubue aiseee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kabisa Mkuu. ndiyo sifa ya mafanikio ni uaminifu.[emoji1787][emoji1787] pole mkuu ila uaminifu ni kitu kizuri aisee na ili ufanikiwe ni bora kuwa muaminifu.