Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Okay Mr kiuno ni mwanifu sina kupinga kwa sasa..
Ametoka kuniunga mda si mrefu na natwanga tigo tigo bila salio hilo ni la uhakika...
Ila namshauri awe wazi kabla ya kuunga kifurushi chake aseme ukweli unaweza piga tigo tigo moja kwa moja bila kikwazo chochote ila kupiga mitandao mingine ni mpaka uingize code...which kwa mimi ni kama usumbufu na hilo jambo angeniambia mapema ingekua vyema sana...

Sababu kuu wakati mwingine nakua busy na nahitaji kupiga simu za haraka sitakua na mda wa kuingiza code na kutoa na kuweka tena...

Asante kwa huduma yako kaka.
 
Tupo pamoja mkuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vodacom

730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=

One Month

12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=

One Month

Vodacom

12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k

One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.

Zipo muda huu njoon chapu chapu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Voda wenyewe ndio wanauza,mimi natumia kwenye router so waliniuzia hiyo sim card na kuniunga kwenye iko kifurushi,kwenye menu yao ya *149*01# utakikuta iko kifurushi kwenye internet then nenda kasi internet,ila nakushauri uende ofisini kwao wakuelekeze zaidi,ni unlimit kweli kwa elfu 50 nafanya fujo zote za internet kwa mwezi mzima,netflix,youtube n.k

View attachment 2061523
Hawa ndio watanifaaa sasa
 
Ata mimi alishawai kunipga elf sita
Pole mkuu Ila Amin hyo pesa aliyoichukua kwako alishaitumia naikumsaidia Chochote Mimi nilikuwa natoa gb pay after mtu unamuunga tu akishapata sms anakublock na ukimpigia anaanza kukuuliza iv wewe Nan ohoo mm MKE wa mtu usinisumubue aiseee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vodacom

730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=

One Month Pre-paid

12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=

One Month

Vodacom

12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k

One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu Ila Amin hyo pesa aliyoichukua kwako alishaitumia naikumsaidia Chochote Mimi nilikuwa natoa gb pay after mtu unamuunga tu akishapata sms anakublock na ukimpigia anaanza kukuuliza iv wewe Nan ohoo mm MKE wa mtu usinisumubue aiseee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] pole mkuu ila uaminifu ni kitu kizuri aisee na ili ufanikiwe ni bora kuwa muaminifu.
 
Back
Top Bottom