Hiki kifurushi ndio tusubiri mpaka wiki ijayo?Vodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month Pre-paid
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndo ivyo kakaInamana hizo siku 14 zikiisha ndo basi tena mpk nisubiri mwezi unaofuata nipate access tena ya internet?
Au ndo sijaelewa
Asante kwa kunijuzaNdo ivyo kaka
Ulitumia mwaka gani?Kuna pre paid Line za airtel zinapatikana Moshi 10k Gb 40 Kwa mwez nlishatumia mara mbili ,Sema Kuzipata kunahitaji Connection ,ambaye anazijua aje inbox atusaidie tupate wengne
izi ni offer au vifurushi vya kawaidaVodacom
730mins all nets for 12,000/=
2100mins all nets for 16,000/=
One Month
12GB for 15,000/=
25GB for 25,000/=
37GB for 35,000/=
One Month
Vodacom
12GB+730mins All nets 27k
25GB+730mins All nets 37k
37GB+730mins All nets 45k
One Month
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bei gani ?[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Gb za tigo Leo zipo gb 72 Kwa mwaka mzima Kila mwez unapata Gb 6 Kwa siku 14 Kwa mwaka mzima
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo kabla ya kazin[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu hii si fiber ni Adsl. Na wana unlimited siku hizi no need kununua vifurushi. 25000 ni unlimited 4mbps, 50,000 ni 8mbps na 80000 ni 12mbps.Hiyo ni mojawapo ya HOME data service offered by TTCL, inaitwa T-Volume. Hii kuipata lazima ufungiwe fiber sehemu unapoishi. Katika huduma za fiber, TTCL ndiyo cheapest hapa Tanzania. Na, upande wa vifurushi vya internet vinavyotolewa na mitandao ya simu hapa Tanzania, TTCL fiber ni nafuu kuliko hivyo vifurushi. Ni muda wa kuanza kutumia8 fiber sasa.
Huduma nyingine za HOME data za TTCL ni:
1: BROADBAND Standard Solution,
2: NDUKI PACKAGES,
3: TTCL-Fiber,
4: T-CONNECT PLUS.
Nenda kwenye site ya ttcl.co.tz ujionee mwenyewe.
View attachment 2091287
Nashindwa kutofautisha hizi intaneti za nyaya, kwakua bado sijazitumia. Kumbe ziko categories tofauti!!Mkuu hii si fiber ni Adsl. Na wana unlimited siku hizi no need kununua vifurushi. 25000 ni unlimited 4mbps, 50,000 ni 8mbps na 80000 ni 12mbps.
Bado tunahitaji ushuhuda mkubwa kwenye hii adsl data ni chache sana.
Adsl ni zile waya za simu mkuu, Ni tech ya kizamani kweli, ila kwa matumizi ya kawaida kinafaa. Uzuri wa adsl bei rahisi sana na coverage ni kubwa inapatikana nje ya Jiji na mikoani pia. Mpaka huku kwetu Tanga ipo.Nashindwa kutofautisha hizi intaneti za nyaya, kwakua bado sijazitumia. Kumbe ziko categories tofauti!!
Kwa matumizi ya kawaida, 8Mbit/s kwa Tsh. 50,000 mwezi ulimited kinafaa sana, tena sana.
Hapo nimekuelewa Mkuu.Adsl ni zile waya za simu mkuu, Ni tech ya kizamani kweli, ila kwa matumizi ya kawaida kinafaa. Uzuri wa adsl bei rahisi sana na coverage ni kubwa inapatikana nje ya Jiji na mikoani pia. Mpaka huku kwetu Tanga ipo.
Ubaya wa Adsl jinsi ulivyo mbali na mitambo yao ndio jinsi speed inavyoshuka, unaweza kuta line moja mmoja yupo karibu na mtambo akapata hio 8mbps ila mwengine yupo mbali akapata 2mbps. Hivyo muhimu kufanya Utafiti eneo lako utapata speed gani.
Fiber yenyewe ni tech ya kisasa ina speed zaidi sema ni ghali hasa kama eneo halina fiber kuvutiwa inacost mamilioni. Package rahisi kwa sasa fiber ni around 70,000 kwa mwezi.
Zuku ni 69000 ukinunua cha 79000 ni pamoja na tv, unapata zile chanell zao bure.Hapo nimekuelewa Mkuu.
Ukiacha TTCL, ZUKU fiber nayo ni cheap, ila changamoto yake inapatatikana sehemu chache, mikoani bado hawajafika. Wana kifurushi cha mwezi unlimited 10Mbit/s kwa Tsh. 79,000.
TTCL wapo kila mkoa.
Duh!, kwahiyo ZUKU fiber ni ulaji!!Zuku ni 69000 ukinunua cha 79000 ni pamoja na tv, unapata zile chanell zao bure.
Bure, unalipia tu gharama za mwezi wanakuja.Duh!, kwahiyo ZUKU fiber ni ulaji!!
Gharama zao za ku-install, vifaa pamoja na kila kitu mpaka kuanza kutumia inaweza kuwa sh. ngapi kwa makadirio?
Ebhana ee!!, ZUKU fiber ndiyo bora zaidi kuliko hata TTCL, kwasababu vifurushi vyao ni nafuu, halafu unapewa bonasi ya chaneli za TV bure.Bure, unalipia tu gharama za mwezi wanakuja.
Kama unakaa mjini ndio Zuku ina Value zaidi. Pia reliability yao ni kubwa, uptime ni almsot 99%Ebhana ee!!, ZUKU fiber ndiyo bora zaidi kuliko hata TTCL, kwasababu vifurushi vyao ni nafuu, halafu unapewa bonasi ya chaneli za TV bure.
Walete kama za vingamuzi.Adsl ni zile waya za simu mkuu, Ni tech ya kizamani kweli, ila kwa matumizi ya kawaida kinafaa. Uzuri wa adsl bei rahisi sana na coverage ni kubwa inapatikana nje ya Jiji na mikoani pia. Mpaka huku kwetu Tanga ipo.
Ubaya wa Adsl jinsi ulivyo mbali na mitambo yao ndio jinsi speed inavyoshuka, unaweza kuta line moja mmoja yupo karibu na mtambo akapata hio 8mbps ila mwengine yupo mbali akapata 2mbps. Hivyo muhimu kufanya Utafiti eneo lako utapata speed gani.
Fiber yenyewe ni tech ya kisasa ina speed zaidi sema ni ghali hasa kama eneo halina fiber kuvutiwa inacost mamilioni. Package rahisi kwa sasa fiber ni around 70,000 kwa mwezi.
Technically satelite internet ni kama Vingamuzi unatumia dishi na inakuwa na receiver. Sema hazitumiki sana sababu ya ping, japo unapata speed kubwa ila ping inakuwa hovyo. Mambo ya live kama kucheki mpira, video call, kucheza games, kubrowse etc yanakuwa slow, ndio maana watu wanakomaa na waya.Walete kama za vingamuzi.
Kuna kampuni zinatoa hiyo huduma hapa bongo? Gharama yake ipoje.Technically satelite internet ni kama Vingamuzi unatumia dishi na inakuwa na receiver. Sema hazitumiki sana sababu ya ping, japo unapata speed kubwa ila ping inakuwa hovyo. Mambo ya live kama kucheki mpira, video call, kucheza games, kubrowse etc yanakuwa slow, ndio maana watu wanakomaa na waya.