Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapo niki exit na program inakua closed,
Naona wananiambia ni uninstall torrent niko nazo.
 
Unatumia vpn gani?

Embu fanyeni kama mnaweka Tena Update ya huu mchongo na sisi wageni wa thread tupate namna ya kucatch up ..maana nimefuatilia lakini sijaona ilipoanzia naoana tu watu wanafurahi mtelezo.

Shusheni hap upya wakuu
 
Mimi mwenyewe sijaelewa inajidisonect tuu sijui unaanza kukonect vpn au sijui inajikonect yenyewe

wanaoteleza wanaona uvivu kutunyooshea Mambo
 
Mkuu, hii app ni lazima uwashe data kwanza ndo ufanye kazi.. na kama hvyokama Nina Mb zangu jilizonunua si zinatumika piA..?
Tumia mb zako kidogo kuangalia matangazo ili kuongeza muda uwe mwingi kama hivi chini.

kisha tumia line ambayo haina MB iwashie data kisha washa na hili dude. Mambo yanasonga chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…