Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapa natumiwa ujumbe sina salio. Ila naingia jf, youtube.. insta ndio msala[emoji2][emoji2]View attachment 2150068
Sina tatizo na mtu mkuu hapa uliupiga mwingi sana naweka masaa 40 nakaa hata siku 3 siangalii ads haha.
Screenshot_2022-03-14-17-47-13-13_2fd9af68d0a88d96cdc7faed4c547f0d.jpg
 
Jamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.

Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje😂😂😂

Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando😃😃😃
Mbona ku add time inagoma?
 
Jamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.

Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando[emoji2][emoji2][emoji2]
Boss mbona mi inaishia apo,nakosea wapi
Screenshot_2022-03-14-22-49-17-389_tunnel.entclass.vpn.jpg
 
free internet hio kwa watu wa TIGO.
Pia airtel na voda mnawwza jaribu kama itaweza. Inaitwa EC TUNNEL PRO. HAIPO PLAY STORE.. Download kutoka nje ya Ps.

Internet yake ni ya matumizi ya kawaida tu haina nguvu.

Igilizia hizo setting hapo, haina haja ya ku import hat file... Add time mpaka ifike masaa 16 ili uwe na UHURU mpana wa kuitumia

SIHITAJI WATU PM, maswali yote yaulizwe hapa hapa kwa faida ya wote..View attachment 2150049
Jomba ahsante sana ,wiki nzima natamba insta ,wasap ,Jf na YouTube free kwa hiyo app inafanya mpk nalala mida mibovu kitu haikwami .
 
Mwanzo mgumu ,siku ya kwanza ilinipa tabu nikakaa kama siku mbili nikaseti kwa umakini ikakubali sasa napeta
Screenshot_20220314_225641.jpg
 
Jamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.

Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa voda inagoma
 
Back
Top Bottom