Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Pc ni nini mkuuMkuuu hii hta kwenye cm au pc pekeake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pc ni nini mkuuMkuuu hii hta kwenye cm au pc pekeake
Laptop [emoji335]Pc ni nini mkuu
Sina tatizo na mtu mkuu hapa uliupiga mwingi sana naweka masaa 40 nakaa hata siku 3 siangalii ads haha.Hapa natumiwa ujumbe sina salio. Ila naingia jf, youtube.. insta ndio msala[emoji2][emoji2]View attachment 2150068
hapana ukimaliza 37Gb kabla ya mwezi unapata network ya kawaida slow.Ukimaliza hizo GB unapata 10mbps?
Hongera sana mkuu naona una enjoy sana masaa 33 sio jambo dogo😅😅Sina tatizo na mtu mkuu hapa uliupiga mwingi sana naweka masaa 40 nakaa hata siku 3 siangalii ads haha. View attachment 2150287
Jamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.Hio hapo ec tunnel
View attachment 2150081
Balaa yani naweka masaa 40 natumia yakibaki mawili naweka tena inasave timeHongera sana mkuu naona una enjoy sana masaa 33 sio jambo dogo[emoji28][emoji28]
Mbona ku add time inagoma?Jamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.
Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje😂😂😂
Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando😃😃😃
io n zamanVodacom vifuryshi vya chuo
Kwa siku
![]()
Kwa wiki
![]()
Boss mbona mi inaishia apo,nakosea wapiJamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.
Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando[emoji2][emoji2][emoji2]
Jomba ahsante sana ,wiki nzima natamba insta ,wasap ,Jf na YouTube free kwa hiyo app inafanya mpk nalala mida mibovu kitu haikwami .free internet hio kwa watu wa TIGO.
Pia airtel na voda mnawwza jaribu kama itaweza. Inaitwa EC TUNNEL PRO. HAIPO PLAY STORE.. Download kutoka nje ya Ps.
Internet yake ni ya matumizi ya kawaida tu haina nguvu.
Igilizia hizo setting hapo, haina haja ya ku import hat file... Add time mpaka ifike masaa 16 ili uwe na UHURU mpana wa kuitumia
SIHITAJI WATU PM, maswali yote yaulizwe hapa hapa kwa faida ya wote..View attachment 2150049
Kwa voda inagomaJamani ulizeni maswali hapa hapa KUHUSU EC TUNNEL PRO.
Kitu naelekeza hapa halafu nafuatwa na watu mia huko pm kuulizwa kinatumikaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukija PM UNALIPIA 500 Ya bando[emoji2][emoji2][emoji2]
TWENDE NA TIGO MKUU. HIO INAPIGA KAZI MWANZO MWISHOKwa voda inagoma
Disconnect halafu halafu piga screenshot nione ulivyofanya seeting ndugu yangu. Yawezekana hujaset sawa kama hivi..Boss mbona mi inaishia apo,nakosea wapiView attachment 2150718
ADD TIME KWA KUTUMIA MB ULIZONAZO KWANZA...Mbona ku add time inagoma?
Mimi nime add Nina masaa 16.mbona nikibadilisha laini ambayo Haina bando inagoma? Laini yenye bando ni Airtel isiyo na bando ni ya voda.Au mpaka Tigo??ADD TIME KWA KUTUMIA MB ULIZONAZO KWANZA...
ONA MASAA NILIYONAYO MPAKA SASA..
UKIFANIKIWA UNAWEZA KAA HATA SIKU 7..
View attachment 2150980
Hapa ukitumia laini yenye bando licha ya kuwa na hayo masaa,Bando Lina tumika au vpn ndiyo inayo tumika?ADD TIME KWA KUTUMIA MB ULIZONAZO KWANZA...
ONA MASAA NILIYONAYO MPAKA SASA..
UKIFANIKIWA UNAWEZA KAA HATA SIKU 7..
View attachment 2150980
Tumia zote kisha angalia salio halafu ulete mrejeshoHapa ukitumia laini yenye bando licha ya kuwa na hayo masaa,Bando Lina tumika au vpn ndiyo inayo tumika?