Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Siku nzuri inavyoanza❤️❤️
simu full charge🙏
Data za kutosha🙏
Dakika za kutosha🙏
sms za kutosha🙏

Eeh Mwenyezi Mungu nijaalie afya njema nifungulie njia za rizki mimi mja wako😒😒
 
wakuu naona imekubali,ila mbna kama youtube inagoma goma sana
Kuna mida ufanisi unakuwa juu zaidi haswa kuanzia 5 ,6 usiku na kuendelea ikizingua zima data na Vpn tulia kdg kisha washa tena au badilisha server ikizingua US 1 nenda na US 2 hizo ndio kali .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…