Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hawa jamaa wenye vpn kama wameingilia mada hivi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
𝒖𝒎𝒆𝒏𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒎𝒑𝒂𝒌𝒂 𝒏𝒊𝒎𝒆𝒂𝒏𝒈𝒂𝒍𝒊𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒋𝒊𝒖𝒏𝒈𝒂 𝒍𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒋𝒇

𝐚𝐧𝐲 𝐰𝐚𝐲 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐲𝐞𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐯𝐩𝐧, 𝐯𝐩 𝐡𝐢𝐤𝐢 𝐬𝐢𝐨 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐟𝐮𝐫𝐮𝐬𝐡𝐢 𝐤𝐢𝐬𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐫𝐚𝐬𝐦𝐢 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐲𝐚 𝐬𝐢𝐦𝐮?
 
Nimegundua kuna mda inagoma kabisa kujiconect ikifikisha kama 2.6Gb. Sasa sijui ni kwangu tu?
Mambo bull bull[emoji38][emoji38]
Screenshot_2022-03-20-19-28-47-62_2fd9af68d0a88d96cdc7faed4c547f0d.jpg
 
Inategemeana mtu na mtu ,mimi mbona napeta hata siku tatu bila bando na spidi inaridhisha Jf ,wasap ,insta , Youtube na gugo .Kinacho mata location ya mtu na ujanja wa kucheza na settings.
setting kivipi mkuu!! yan kuna setting zinaruhusu kasi kubwa na nyingne haziruhusu!!???
 
Hello wazee wa vitonga a.k.a free data

mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa😅😅😅

leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.

weka line ya Tigo karibu!!

kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.

zoezi linaanza baada ya nusu saa

Screenshot_20220322-130815.png
 
Hello wazee wa vitonga a.k.a free data

mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]

leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.

weka line ya Tigo karibu!!

kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.

zoezi linaanza baada ya nusu saa

View attachment 2160280
Bando lina expire baada ya muda gani
 
Back
Top Bottom