I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Nimejaribu njia zote kuconect tena inakataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kama umefikia huko unapaswa kutoa sadaka ya shukrani aiseeNimegundua kuna mda inagoma kabisa kujiconect ikifikisha kama 2.6Gb. Sasa sijui ni kwangu tu?
𝒖𝒎𝒆𝒏𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒎𝒑𝒂𝒌𝒂 𝒏𝒊𝒎𝒆𝒂𝒏𝒈𝒂𝒍𝒊𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒋𝒊𝒖𝒏𝒈𝒂 𝒍𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒋𝒇Hawa jamaa wenye vpn kama wameingilia mada hivi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
😄😄😄 Usijali mkuu fanya kudm namba yako😁😁mkuu kama umefikia huko unapaswa kutoa sadaka ya shukrani aisee
0744033555😄😄😄 Usijali mkuu fanya kudm namba yako😁😁
Mambo bull bull[emoji38][emoji38]Nimegundua kuna mda inagoma kabisa kujiconect ikifikisha kama 2.6Gb. Sasa sijui ni kwangu tu?
Still counting...Mambo bull bull[emoji38][emoji38]View attachment 2158317
Duu bando gani hilo sio kwa GB hizo.
Inategemeana mtu na mtu ,mimi mbona napeta hata siku tatu bila bando na spidi inaridhisha Jf ,wasap ,insta , Youtube na gugo .Kinacho mata location ya mtu na ujanja wa kucheza na settings.Ni Kweli Internet ni Free ila suala la speed haishawishi kutumia walau hata kwa dakika tatu[emoji28][emoji28][emoji28]
setting kivipi mkuu!! yan kuna setting zinaruhusu kasi kubwa na nyingne haziruhusu!!???Inategemeana mtu na mtu ,mimi mbona napeta hata siku tatu bila bando na spidi inaridhisha Jf ,wasap ,insta , Youtube na gugo .Kinacho mata location ya mtu na ujanja wa kucheza na settings.
TunasubiriHello wazee wa vitonga a.k.a free data
mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa😅😅😅
leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.
weka line ya Tigo karibu!!
kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.
zoezi linaanza baada ya nusu saa
View attachment 2160280
Mtafute Mr KIUNOVp, kwa wale wanaounga vile vfurushi vya vya wiki, mwezi na kiez mitatu, kwa ambae anafahamu wanaounga na alishawatumia
nitampataje huyuu contact, na vp ww ushamtumia yupo vzutMtafute Mr KIUNO
Bando lina expire baada ya muda ganiHello wazee wa vitonga a.k.a free data
mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.
weka line ya Tigo karibu!!
kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.
zoezi linaanza baada ya nusu saa
View attachment 2160280