Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Tuma picha nione ulipofika
Yaani nikibonyeza hapo kwenye 50mb mara yanakuja mavideo ya matangazo baada ya hapo wananiambia hongera una mb50
Sasa najuaje kama nimeunganishwa hizo mb na nawezaje kupata 750mb?
 
Yaani nikibonyeza hapo kwenye 50mb mara yanakuja mavideo ya matangazo baada ya hapo wananiambia hongera una mb50
Sasa najuaje kama nimeunganishwa hizo mb na nawezaje kupata 750mb?
Kadri unavyozid kuangalia izo video ndivyo ambavyo mb zako zinaongezeka
Ukiifungua iyo app upande wa kushoto utaona idadi ya mb zako
 
Kadri unavyozid kuangalia izo video ndivyo ambavyo mb zako zinaongezeka
Ukiifungua iyo app upande wa kushoto utaona idadi ya mb zako
Nikonekti inakuja alama ya ufunguo pale top kabisa kwenye minala
 
Pale juu kwenye neno premium nilibadilisha ikawa neno basics mbona inakataa nisiangalie ads?

Haikubali kabisa
 
Siasa mbaya sana
ukisha select hizo bonyeza add ujiongezee mb baada ya kuangalia matangazo.

baada ya kubonyeza add,
vitatokea vitu hivi hapa vitatu.
hapa ndio kwenye kitovu cha hii app maana ndio tunapatia hadi gb 40.

Twende pole pole
1. 20-100mb... hiki ni kipengele cha daily check in na hubonyezwa mara 1 tu kwa siku. Wanatoa mb 50, 75 na kuendelea kadri unavyoingia kila siku

2. 25-100mb. Hapa napo pabonyeze utazame matangazo utapewa mb kibao tazama kadri uwezavyo

3.. 50mb. Hapa wanakupa mb 50 mara 15. Tazama video za matangazo mara 15 na utapata mb 750.

(Jichotee zote hizo utaona zinaongezeka juu pale)

4.. Kupata hadi 1gb mpaka ualike mtu na adownload hio na kuinstall unapata 1gb kwa kila mjuba utakaemualika na kudownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…