Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

habari za muda wakubwa kwa wadogo.

tuendelee kupeana ujanja wa kupata hiki kitonga kabla hawajakibana.

kuna hicho kipande cha gb 1 nilichozungushia kiduara.

ili kupata gb1. Alika (invite) watu wadownload hii app.

kwa kila mtu mmoja utapata Gb 1, kwa kila siku. Hebu fikiria ukipata watu 10😅😅😅
bonyeza hapo 𝐭𝐨 𝐜𝐨𝐦𝐩𝐥𝐞𝐭𝐞, 𝐜𝐨𝐩𝐲 𝐥𝐢𝐧𝐤 𝐤𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐞 𝐰𝐚𝐧𝐚 ,,, 𝐰𝐚𝐬𝐡𝐚𝐰𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐰𝐚 𝐝𝐨𝐰𝐧𝐥𝐨𝐚𝐝

𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐮𝐭𝐚𝐧𝐮𝐟𝐚𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐤𝐨 𝐰𝐚𝐨
 
kumbuka hii VPN utaweza kuingia social networks zote kama vile umenunua kifurushi cha kawaida

wakati kumbe unatumia mseleleko na hujatoa sadaka kwa mtumishi😎😎
 
Mkuu nakudai sadaka buku 3😅😅😅
umekula sana maisha ndani ya siku tatu hizi

wadau wamegoma kutoa sadaka kudadeki
Kwa kweli mpk nafsi inanisuta jinsi ninavyoteleza .Inabidi tu nikufanyie mpango haraka iwezekanavyo maana uminisave kinoma mdau .
 
Mkuu nakudai sadaka buku 3[emoji28][emoji28][emoji28]
umekula sana maisha ndani ya siku tatu hizi

wadau wamegoma kutoa sadaka kudadeki
We jamaa umesaidia pakubwa, sadaka inakuhusu
 
Wat sucks mkuu Get Rich anasema hajapata sadaka as of now afu watu tunateleza, ila wengi tunasema tutakuona inbox ila naamini tutakuona soon tuvumilie bado kuna dili tunasikilizia
 
Wat sucks mkuu Get Rich anasema hajapata sadaka as of now afu watu tunateleza, ila wengi tunasema tutakuona inbox ila naamini tutakuona soon tuvumilie bado kuna dili tunasikilizia
Tuendelee tu kuenjoy mkuu. Kutoa ni moyo.

sasa tupeane ujanja wa lazima ili tupate 1 gb ya lazima, jumlisha na ile 750mb na vile vi 70mb utajikuta una 2gb a day.

chukua simu ya jamaa yako, mpenzi, mama ama baba, mtumie link ya sky vpn kutoka kwenye 1024mb

ukishamtumia ikafika, gusa link download, install kisha achana nayo.
haijalishi hapo ataitumia ama la.

wewe utapewa 1 gb kwa kum alika mtu mmoja.

ukiweza kualika wengine utapewa gb nyingi kadri watakavyo download.

Tuendelee ku enjoy hata bila sadaka
 
Kudos bro, ila dili likitiki nitakukumbuka kwenye ufalme wangu panapo majaliwa
 
Wat sucks mkuu Get Rich anasema hajapata sadaka as of now afu watu tunateleza, ila wengi tunasema tutakuona inbox ila naamini tutakuona soon tuvumilie bado kuna dili tunasikilizia
Kauli za Uwabata "Kuna hela nasikilizia"
 
hello fellas.
kuna wadau kibao wako inbox na wengine wko watsap, main question huko ni je hizi mb huwa zina expire?

jibu ni hapana.

ukitoa sadaka Mb zako zinabaki pale ulipoziachia😅😅😅
unaamka nazo.

asante sana kwa alietuma elfu 2 mpaka sasa ni huyo tu
ama kweli sadaka ni wito🙏🙏🙏
 
Swali.. hizi mb za kutumia huwa zinatoka wapi? Zinatoka katika vpn husika ama katika mtandao? Mf tigo? Mwenye kujua anieleweshe..
 
Wadau binafsi natumia Bitvpn haina limitations yaan unatumia Mb kadri uwezavyo kwa playstore naona sasa hv wameifuta kwa ataehitaj anitumie namba yake inbox nimtumie maana hapa sijui kma ninaweza ku share hyo application
 
Kwa mtandao yote au ?
 
Kwa line gani ?? Na unaset vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…