Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakudai sadaka buku 3😅😅😅Vitonga.Com ilinifanya mpk nisajili laini ya Tigo sasa nafaidi matunda ya huu uzi .
Kwa kweli mpk nafsi inanisuta jinsi ninavyoteleza .Inabidi tu nikufanyie mpango haraka iwezekanavyo maana uminisave kinoma mdau .Mkuu nakudai sadaka buku 3😅😅😅
umekula sana maisha ndani ya siku tatu hizi
wadau wamegoma kutoa sadaka kudadeki
We jamaa umesaidia pakubwa, sadaka inakuhusuMkuu nakudai sadaka buku 3[emoji28][emoji28][emoji28]
umekula sana maisha ndani ya siku tatu hizi
wadau wamegoma kutoa sadaka kudadeki
Tuendelee tu kuenjoy mkuu. Kutoa ni moyo.Wat sucks mkuu Get Rich anasema hajapata sadaka as of now afu watu tunateleza, ila wengi tunasema tutakuona inbox ila naamini tutakuona soon tuvumilie bado kuna dili tunasikilizia
Hujafanikiwa kuliunga mkuu?Kudos bro, ila dili likitiki nitakukumbuka kwenye ufalme wangu panapo majaliwa
naam mkuu"
Kwa mtandao yote au ?Wadau binafsi natumia Bitvpn haina limitations yaan unatumia Mb kadri uwezavyo kwa playstore naona sasa hv wameifuta kwa ataehitaj anitumie namba yake inbox nimtumie maana hapa sijui kma ninaweza ku share hyo application
Kwa line gani ?? Na unaset vipi?Wadau binafsi natumia Bitvpn haina limitations yaan unatumia Mb kadri uwezavyo kwa playstore naona sasa hv wameifuta kwa ataehitaj anitumie namba yake inbox nimtumie maana hapa sijui kma ninaweza ku share hyo application