Roho mbaya hiyo hata situmii tigo pyeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cc@TigoTanzania
Line gani nyingine inakubali? nipe mchongo maisha kusaidiana tusitupane Jf Moja .Roho mbaya hiyo hata situmii tigo pyeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Line gani nyingine inakubali? nipe mchongo maisha kusaidiana tusitupane Jf Moja .
njoo inbox... siri siriniLine gani nyingine inakubali? nipe mchongo maisha kusaidiana tusitupane Jf Moja .
Nashindwa kubadilisha hapa ije USAPole połe ndio mwendo. Tunarudi nyumbani[emoji28][emoji28]View attachment 2169202
spidi yake si kitoto wakaona hapana dah roho imeuma sana. Hiyo tunnel sina mzuka nayo kabisa, sky nilidownload hadi kwenye PC nikawa naunga hahahaNaona ec tunnel wameiacha tu.
sky iliwamaliza in a short time.
Cha Asubuhi kikoje hicho mkuu?KISHANUKISHWA HUKO,
WATU MKIAMBIWA MCHEZE BILA KUKUNJA GOTI HAMUELEWI HAYA SASA MRUDI SLOW DNS AU KUVIZIA CHA ASUBUHI
Kwa hiyo hutaki na wengine wafaidi au? Acha roho ya Kwa nn wewe.Ngoma imevuma imepasuka watu hawajui kukaa na vitu kimya kimya unakuta mtu anapost siri zote bila kujua kuwa wahusika wanaona na waziba mirija mi binafsi tokea 2014 hadi leo natumia ila hukuti watu wanaongea ovyo ovyo...sasa wameshablock ukipata njia itumie kimya kimya ukiweka public kufungwa ni dk 0
Wewe uliijuaje?Ngoma imevuma imepasuka watu hawajui kukaa na vitu kimya kimya unakuta mtu anapost siri zote bila kujua kuwa wahusika wanaona na waziba mirija mi binafsi tokea 2014 hadi leo natumia ila hukuti watu wanaongea ovyo ovyo...sasa wameshablock ukipata njia itumie kimya kimya ukiweka public kufungwa ni dk 0
Sky spidi yake siyo ya kitoto kila kitu mwake mpk niliona upumbavu kuweka vocha.spidi yake si kitoto wakaona hapana dah roho imeuma sana. Hiyo tunnel sina mzuka nayo kabisa, sky nilidownload hadi kwenye PC nikawa naunga hahaha
Miaka yote hiyo duuNgoma imevuma imepasuka watu hawajui kukaa na vitu kimya kimya unakuta mtu anapost siri zote bila kujua kuwa wahusika wanaona na waziba mirija mi binafsi tokea 2014 hadi leo natumia ila hukuti watu wanaongea ovyo ovyo...sasa wameshablock ukipata njia itumie kimya kimya ukiweka public kufungwa ni dk 0
Mtandao gani??Mbona hadi sasa natumia Sky tena wameniongezea kipengele cha Kufind Code alaf wanakupa 200mb....
Nyie imezingua wapi???
TigoMtandao gani??
Yani saivi ndo wamemwaga MB hadi basi....sema kuna mwanangu leo nimdownlodia ikagoma[emoji41][emoji41][emoji41]Mtandao gani??
Duh Mbona Kwa wengine inagoma? Unaconnect baada ya muda inajidisconectYani saivi ndo wamemwaga MB hadi basi....sema kuna mwanangu leo nimdownlodia ikagoma[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2169617
DJ JDDuh Mbona Kwa wengine inagoma? Unaconnect baada ya muda inajidisconect